Gwajima:Nitaendelea Kuwapa VIDONGE vyenu Kila Mtakapo potoka, Nafanya kazi ya Bwana, Mbona Wengine Wakitoa Misimamo yao Hamuwafuati?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Madaktari, wanasiasa, wafanyabiashara wamekuwa wakitoa misimamo yao lakini hawabughudhiwi iweje Gwajima tu? Nitaendelea kuwapa vidonge vyenu kila mtakapopotoka, nafanya kazi ya bwana,” alisema Gwajima

Kuhusu utajiri wake pia Gwajima amesema anashangazwa na vyombo vya Serikali vinavyohoji utajiri alionao bila kujua anaongoza idadi gani ya waumini. Alisema anaongoza kanisa lenye waumini zaidi ya 70,000 ambao akiwaomba kila mmoja ampe Sh1,000 tu atakuwa na Sh70 milioni, na kama wakiamua kutoa elfu 10, 000 basi atakuwa na milioni 700.

Nini mtazamo wako katika hili? Na unapenda mwambia nini Gwajima?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. WEE BOLONGA TU ,, UTAKUJA JUTIA

    ReplyDelete
  2. usishindane na serikali ukiwa unakosa

    ReplyDelete
  3. Gwajima ni muagaikaji kama wengine mjini.Baya zaidi anatumia jina la mungu kuibia watu wenye matatizo wakristu ambao ni wabia katika biashara ya Gwanyima .Nyie watu amkeni hizo mali za Gwajima nizenu. Anawaibia inabidi serikali inayokuja imkarie kooni sana aludishe pesa za watu .

    ReplyDelete
  4. Kwahiyo unamaanisha sadaka zote watu wanazo zitowa kanisani ni mali ya gwajima

    ReplyDelete
  5. AUZE MALI ZAKE ZOOTE KISHA AWAGAWIE WATU MASIKINI

    ReplyDelete

Top Post Ad