Husein Machozi' Mimi Sijaoa Bado Mwanamke wa Kimombasa Aliyetangaza Kafunga Ndoa na Mimi Anatafuta Kiki Mjini

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya Mwanamke wa Kimombasa kuitangazania Dunia kuwa amefunga ndoa ya Kiislam na Mwanamuziki Hussein Machozi Huko Mombasa na Baadae Hussein Machozi kuikimbia Ndoa  , Hussein Machozi Amefunguka ukweli wote kwenye hii Video hapa chini:
Video:



-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. huu niuongo mtupu ulizeni family yake na family ya huyo mwanamke kama kweli Hussein hakumuoa huyo mwanamke mwaka wa 2013. na mumueke Chief kiembe ambae tulisikia alikua kwenye hio ndoa mombasa. Anamdhalilisha mwanamke wawatu huyo Hussein. Nakukana Ndoa ni dhambi kubwa sana.

    ReplyDelete
  2. tumesikia iko hadi video ya hio harusi ambayo ilichukuliwa kisiri. Hio pia tutaiona tu. tutajua muongo ninani kati ya watu hawa wawili. ukwueli utatoka tu.. sisemi mengi. Ila ukweli nikua Hussein Machozi anadanganya watu sana. hakuna lolote laukweli aliloongea hapo. Hata story yakufumaniwa alioongea niuongo kabisaaaa..

    ReplyDelete
  3. hey jameni hebu msinidhalilishe. mm ndie mke wa hussein. nasidhani nikwann nseme nilifunga ndoa ya kiislam kama niuongo.mm namuogopa sana Mungu. Ndoa nikitu ambacho nibaraka.
    mumwangu amenidhalilisha kisa chakufanya hivyo sikijui. ila mm niko thayari kama akisema aniacha i will say fine. cause haina haja kua na mtu anaekukana ama anaekana Ndoa. Yamenisikithisha sana haya maneno. na kwaujumbe wenu yy hakuthoroka ndoa. Bali mm ndie nnaeishi nje ya Africa. so yy alirudi kwao thu baada ya mda mrefu kua kenya mm nlipomuacha huko. ulizeni pande zothe mbili kabla kuandika haya maneno ati mwanamk athafutha kiki. kiki gani nithafuthe africa? Nimwaka gani tulifunga ndoa kama ni kiki mbona sikuithafutha wakathi huo? Muogope Mungu mumewangu. Usikufuru. ila kama ndoa inkushinda iepuke usiikane. duniani uthaikana , je mbele yaa Mungu pia waezaikana nakuniita mm huyo mwanamke wakimombasa?
    Am sorry realy. mm sina shida yakukimbilia mtu. Namshkuru Mungu Alhamdhulillah.

    ReplyDelete

Top Post Ad