Irene Uwoya Aumizwa na Maneno ya Wema, Ampongeza Wema kwa Moyo Wakishujaa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Irene Uwoya  Aumizwa na Maneno ya Wema, Ampongeza Wema kwa Moyo Wakishujaa
 
Minashindwa kuwaelewa watu ni kwanini mnapenda sana kutaka kutoa kibanz kwenye jicho la mtu wakat kipande chamti kiko kwenye jicho lako.....nimeumia sana na maneno ya wema,mtoto anapanga MUNGU sio binadamu .....Embu mwachen mtoto wa watu sasa awenaaamani kila siku mnamsema yeye mmnazan anachuma nin Ana moyo,afu kunawatu wanapenda sana kudandia mambo ........mmedandia weweee mme mtukana mtoto wawatu minaomba niwape namba ya MUNGU mumulize yeye kwanin na mumuache mtoto wa watu!sipendag kuingilia mambo ya watu lakin imezid sasaaaaa!!!!!sio vizuri jiweken nafas yake muone kama hamjajinyonga!WEMA kiukweli unamoyo wa kishujaaa sana napenda sana mwanamke awe hivyo MUNGU ndoanamajibu yote achana nao wenye kudandia yasiyo wahusu maana watajikuta wapo kama pweza wanamiguu lakin kusimama hawawez.....”-Irene Uwoya ameandika kwenye ukurasa wake mtandaoni.

Hii ni baada ya Wema hivi majuzi kufunguka mtandaoni kuwa anatamani sana kuwa mtoto lakini huwezo  hana.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad