K-LYN amfunga ndomo ZARI kwa "PESA" Sasa K-Lyn Ndio Bosslady wa Ukweli

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Miss Tanzania wa mwaka 2000 na mwanamuziki wa bongo fleva, jackline ntuyabaliwe aka k- lyn hatimaye amekuwa mke mke rasmi wa mfanyabiashara maarufu na TAJIRI nambar moja nchini, Reginald mengi baada ya kufunga ndoa iliyohudhiriwa na mastaa mbali mbali wa nchini ufaransa na Tanzania.

Kama ilivyo ada kwa mke wa raisi kuitwa "FIRST LADY vivyo hivyo kwa mke wa tajiri jina hubadilika na kuwa "BOSSLADY ". Kutokana na hali hiyo kuanzia sasa k-lyn anakuwa ndiye raisi wa ma bosslady wote afrika mashariki kutokana na pesa aliyonayo mumewe mzee reginald mengi.

Awali kabla ya k-lyn kutwaa wadhifa huo, mwanamuziki na mfanyabiashara toka uganda ambaye ni mpenzi wa mwanamuziki nguli wa bongo fleva diamond platnumz, zarinah hussein aka zari aliaminika ndiye anayeongoza kwa pesa kwa mastaa Africa mashariki. Kwa sasa hali imebadilika na taji hilo kuelekea kwa mwana mama mrembo K -lyn.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

15 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Pesa ya zari ni ya zari lakini huyo ni ya mume wake

    ReplyDelete
  2. Hapo ndipo wwabongo nawaonaga kavu kukaa chini na kujadili nani ana pesa na nani kafulia daily cha kusikitisha zaidi ni ndani ya haya magazeti yetu ya ajabu ajabu why don't you people let somebody live his/her own life as he/she pleases?

    ReplyDelete
  3. Na mke wa baharesa Azam mtamwita nani??? kuna watu wanapesa but the don't waant to show off. please give me a break.

    ReplyDelete
  4. Yaaani zari anapendwa mpaka basi kukicha zari kabla ya kulala zari kama ibada! Big up zari japo ckujui hinijui.

    ReplyDelete
  5. umeniwahi weye nlitaka sema hivohivo

    ReplyDelete
  6. Na mke wa manji je

    ReplyDelete
  7. SASA HUYO K_LYN MALI NI ZA MZEE MENGI LAKINI ZARI YEYE NI ZA KWAKE

    ReplyDelete
    Replies
    1. Whooph!! Ulikuwa nae wakati anazitafuta??
      Unauhakika?? Au unasikiliza kwenye maudaku kila siku..ndo unajisifia nae?

      Delete
  8. Hahaahahaaaaa!mwemwe,kakuonyesha account xake?

    ReplyDelete
  9. Zari angekuwa na pesa wanaume wangemfuata huko kwao na pesa zake sio yeye kuwafuata wanaume.

    Ushawaona wapi wanawake wenye pesa wanabehave kama Zari? Wanashop Mr Price?

    ReplyDelete
    Replies
    1. eeeeeeeeeh noma,bora woolworth

      Delete
    2. Huitaji kumuona mtu anavyoishi ili kujua ni maskini hohehahe. Mara nyingi kauli zao huwa zinadhihirisha sababu ambao wana pesa huwa hawapotezi muda kwenye negative energy kama fulani kavaa nini fulani anaendesha nini. Huw mawazo yao ni fursa wapi zilipo. Wapi naweza kuinvest nikapata return kubwa.

      Delete
    3. Kumbe hujui maisha ya Zari nenda kwenye Google uone alivyomshambulia girfriend wa Ivan alipomgundua enzi hizo ndipo utaijua tabia yake. hapa yeye ndiye kaingilia mapenzi ya mwingine kwa hali hiyo lazima afunike tabia yake ili akubarike

      Delete
  10. Mhh, Maisha Yako Yakikaa Sawa Wala Hutopata Muda Wa Yoooote Haya.. La Msingi Waacheni Woote Na Maisha Yao.












    ReplyDelete

Top Post Ad