Kajala Atamani Kumlipa Wema Mil.13 Zake ili Kuepuka Masimango ya Kila Siku

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Staa  mrembo  wa Bongo Movies, Kajala Masanja  kwa mara ya kwanza  ameibuka  na kutoa ya moyoni kuwa anatamani kulipa shilingi milioni 13 alizolipiwa na staa mwenzake  Wema Sepetu kama faini ili asiende jela miaka saba.

Akizungumza na gazeti la Amani, Kajala  alisema  kuwa huwa anaumia sana kila anapokumbuka kuwa alipewa kiasi hicho chapesa ingawa uwezo wa kulipa anao.

Huwa  nateseka  sana kila ninapokumbuka kuwa nilitolewa 13 japokuwa naaamini alitoka kwa mmoja,kinachoniuma muhusika anaiongelea  kila siku tena kwa mabaya,” alisema Kajala

Toa maoni yako Hapa chini
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. rubish! alipe na interest ya 14% per miezi yote hiyo hela imetoka mfukoni kwa wema. kajala apige kimya tu, she need to swallow her pride and move on sio kulipa m13 leo fedha haina thamani tena. sasa hivi anaona ana uwezo wa kulipa na mbona hakujilipia then?

    ReplyDelete
  2. kashalipiwa wakati alikuwa na matatizo, si kajala wala family yake hawakuwa na pesa. Wema kamsaidia leo anajiona anaweza kurudisha peasa really, kajala huwezi rudisha fadhila za Wema hata iweje.

    ReplyDelete
  3. SASA NINI TENDA WEMA KAMA JINA LAKO UENDE ZAKO MALALAMIKO NA MASIMANGO YA NINI ? KWANZA HATA WASANII WENGINE WALIKUWA WANAJIKUSANYA KUMTOA YEYE AKAKIMBILIA BENKI NA KULETA FASTA ILI AONEKANE ANAWEZA KAMA UNATAKA KULIPWA MWAMBIE KAJALA AKULIPE KAMA ULIMKOPESHA . NA ALIKUWA HANA KAJALA KIPINDI KILE KWAKUWA ALIKUWA JELA SASA KACHAPA KAZI KAPATA . AKUPE?????

    ReplyDelete
  4. me naona hata asimpe hio hela maana ashamsema cha hela yote xo tiar ushailipa mwaya kajala. acha waseme wakichoka watanyamaza tuu. Me nakuombea kila unalolifanya ukafanikiwe na waombee adui zako waishi miaka mingi ili waone unavyobarikiwa

    ReplyDelete
  5. Jamani watu wengine ni waswahili na wwanaandika pointless. Mimi kwa mtazamo wangu ni bora umrudishie ile pesa na umtumie watu wenye heshima zao wakakuombee msamaha ili mrudishe urafiki wenu.kibinadamu lazima ukumbuke kuwa asingekulipia leo ungekuwa wapi?????.watu wanaoharibu ni wale wanaokudanganya kajala kumbuka tendo ulilosaidiwa na Wema lilikuwa la utu na u binadamu. Tatizo unakuwa na negative attitude hukutakiwa hata kuyaeleza kwenye media my dear. Chagua watu unaowaamini wenye heshima zao uwape hiyo pesa na kukuombea msamaha at the same time

    ReplyDelete
  6. You have the point. Kwasababu mgonvi sio hela, Wema kinachomuuma ni kwamba katika watu wote waliomfanyia Wema ubaya, Kajala, you were not suppose to be among of them!!!!!! hatakama mwanaume alielala na wema amekutaka should know better kama wanaume are dogs na were ulitakiwa kukataaa ile usivunje usiano wake na wema because mtu ambaye anakusaidia wakati wa shida ndio rafiki. But noooooo Kajala forgot wema wa rafiki take and she went and open her legs to Wema's boyfriend that wasn't cool Kajala. You were suppose to protect your friend and not hurt her. So pleesea stop acting like Wema is bad people of expressing her anger.

    ReplyDelete
  7. one point, Wema hicho kitendo kimemuuma because she loved and were like a sister to her. Mbona ameweza kumsamehe Pen na Wema anavyo mpenda Dia hivyo but she let it go because she is smart enough to know that man come and go but friends the will be there when you need them. But not you Kajala. So For wema is not all about man or money, is about friendship. And Kajala, you destroyed that. Very few people they can do what she did.

    ReplyDelete
  8. La msingi kama Ni msamaha utoke pande zote siyo sababu ulilipiwa pesa ndo na urafiki uendeshwe Hilo hapana msimamo na kuheshimiana ndo la muhimu.

    ReplyDelete

Top Post Ad