KAULI YA WEMA YALIZA WENGI. Aweka wazi kuwa hawezi kupata mtoto...'Hata Mimi Natamani Ningekuwa Napiga Picha Niko na Mwanangu'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

"Ningekuwa na uwezo wa kuzaa ningekuwa nimezaa muda mrefu sana... But sina... Na siwezi kumkufuru mwenyezi mungu.... Au mngependa niwe nawaambia jinsi ninavyo hangaika usiku na mchana kupata mtoto wangu mwenyewe... Is dat wat u want...? kila ntakachofanya kwa ajili ya tumbo langu basi nitangaze... Au mnadhani siumii mnavyosema kuhusu maswala ya mtoto.
"kumbukeni na mimi pia ni binaadam... Nina moyo kama nyie...Au mnadhani napenda kuona wenzangu wana watoto au wana ujauzito alafu mimi sina hata wa kusingiziwa...Mnaona nafurahia sio....Hivi mna nini jamani...Yaani mtu unaweza weka post kwa nia nzuri then people jus come from nowea wanaanza kukuandikia maneno ya kukuumiza kabisa nafsi hadi mtu unakaa unajiuliza umemkosea nini mwenyezi Mungu...Kwani kuna niliemkosea yoyote mpaka muanze tu kunikashifu na kunitolea maneno mazito namna hio... Kisa mtoto... Mnadhani naipenda hii hali... Hata mimi natamani kuitwa mama na hakuna kinachoniuma kama hicho.... So mnadhani sijui kama umri unaenda na maisha yenyewe sikuhizi mafupi anytime we die... Mnafikiria nisingependa kuacha hata ka copy kangu siku ndo Mungu anasema ananichukua... Hata mimi natamani ningekuwa napiga picha niko na mwanangu... I want dat with all my life but I cant.... Sitokaa nimkufuru Mungu wangu hata siku moja maana sijui ni kitu gani kaniandikia... But just dont rub it in... It hurts... And im jus a human being like each and everyone of u."

Una lipi la kumwambia au kumshauri Wema Katika hili?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

26 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Amebreak the internet, everyone is talking about her, I wish angefanya haya 1 week before 1st of May angemfunika kabisa Mr & Mrs Koroboi.

    ReplyDelete
  2. Dada yangu Wema,
    Salamu sana, nyingi na za upendo mkubwa zikufikie. Pole nyingi sana, it is sad to listen to what your heart is speaking about the reality of your life. Kwanza, that is relieving kwako kwa kuusemea moyo wako na hali yako. Inakupa moyo huru na uliopumua pumzi kubwa, ni ujasiri wa pekee na kwa hilo nakupongeza. Nakupongeza pia kwa kuonyesha moyo wako, licha ya kwamba unaumia kwa mengi, moyo wako si uliovunjika na kupondeka, sio uliopoteza matumaini na mapendo ndani mwako. Hilo ni paji la Kimungu ndani mwako na umeonyesha hilo kwa kutomlaumu Mungu bali kwa kumtumainia.
    Personally I was touched, and my prayers are with you. Don't give up hope and trust which are in you. Maisha na hali za ubinadamu vina mipaka yake. Tumeumbwa na tupo jinsi tulivyo, na kwa njia ya hali zetu makusudio ya Mungu ni ya kipekee kwa kila mtu, malengo yake Mungu tunaendelea kuyang'amua siku hadi siku na kwa nguvu ya ajabu.
    Mungu azidi kukutia nguvu katika yote, harakati za maisha ya kila siku zipate Baraka zake, na kwa njia hiyo ukitambua what He calls you to do. For surely you will be our dada and mama to many other children who need your love and care as of what God has given you just for the sake of them.
    Kila jema dada yangu, nakutakia moyo mkuu.

    ReplyDelete
  3. akome kwani tangu darasa la saba anatoa mimba anafikri mungu hata jibu malaya saana hata kuku nafuu,angeamua kutoharibu kzaz mwenyewe angekuwa na mtoto lakn kupenda aonekane beaty ndoo hivyo hormone zimepungua xaxa mtoto atampataje hilo ni fundisho kwa madada wengine wasichezee nature ya maumbile yao ck hiz v2 vingi vinatengenezwa kwa hormone mbalimbali ambazo effect hutokea baadae "rafiki yake wema wakalibu anasema wema ameshapata mimba nyingi2 akatoa sasa anamlilia mungu iwejeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee,ameanza mapenzi ana miaka6 wewe hapo via vya uzazi vitakuwa salama ukubwani????????????????????????????????????????

    ReplyDelete
    Replies
    1. Shame on you. Don't judge her if you cnt judge your life mfyuuuu. U r such a heartless person

      Delete
    2. Kama kweli unaamisha ulichokisema kuwa kaanza mapenza akiwa 6, na katoa mimba yingi poa. Ila weka identification yako hapa nasisi tukufanyie research...usije ukawa unaongea out of yre own experience...ukute unamakuu kuliko wemaa...huna mtoto wala mpenzi, huna mbele wala nyuma...

      Delete
    3. Watu kama nyie ndio mtakuwa kuni za motoni, utafikiri ulishawahi kumuona hiyo darasa la 7 alivyokuwa mfyuuu!

      Kwanza picha zake za umiss tu wakati huo yuko sekondari zinaonyesha alikuwa bado mbichii. Mwanamke aliyebeba mimba mwili wake tu peke yake unaonyesha huhitaji tochi kutokana na mabadiliko ya kihormones.

      Mwisho utabakia hivyo hivyo kudhani na kuhukumu, kazi ambayo sio yako, halafu nikwambie, ndio maana huishi kuugua maradhi ya ajabu ajabu, chuki inaleta maradhi na ikizidi sana kinga ya mwili inapungua unapata TB kabisa. Hebu wahi kapimwe makohozi uanze kumeza dawa.

      Delete
    4. Hvi kama huna cha kukoment c ukae kmya tu co kla utachosoma lzm ukoment ....darsa la saba la wema hata ujui kamalizia wap mfyuuu.....

      Delete
  4. Yes! Kama alikuwa anazichurupua unategemea nini kwa umri wake alio nao sasa. This is not about judging her..Upachikwe mimba wewe alafu umpe Wema akulelee,, @1:28 PM

    ReplyDelete
  5. pole sana wema usikate tama mungu amekupangia na anajua amekupangia nini ningependa kukwambia wacha kutumia vidonge vya kupanga uzazi umevitumia sana hiyo ndio shida ya kushika mimba onana na wataalam

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwanza naomba uache kabisa kujitabilia mambo mabaya katika maisha yako. Madam maneno yanaumba kwa hiyo usiwe unapenda kujiongelea maneno ya kujikatisha tamaa bila sababu za msingi. Kama mtoto utapata wakati wako ukifika, kwani kila mtu ana wakati wake Mungu aliompangia, kwa hiyo ondoa wasiwasi kwenye nafsi yako.

      Delete
  6. WEWE ANONYMOUS.
    HUNA HAKI YA KUMHUKUMU MTU HATA SIKU MOJA.
    HIYO NI KAZI YA MUNGU!!!!

    WEWE UNA MANGAPI? KAMA ALIFANYA UNAPATAA NINI KUMHUKUMU?
    JIANGALIE KWANZA KABLA KUNYOOSHEA MWENZAKO KIDOLE.

    CHUKI ZITAKUFIKISHA WAPI?
    WALOZA WAMEKUFA, WASIOZAA WATAKUFA. WATU WAMEZAA VIMALAYA, VIBAKA, MAJAMBAZI, WASENGE, SO?

    KUKU KAZAAA, PANYA KAZAAAA!! EBO

    ReplyDelete
    Replies
    1. KAMA ANAONA HANA KIZAZI ANGEKAA KIMWYA SIO KUWEKA KWENYE MITANDAO, WANGAPI HAWANA KIZAZI DUNIANI? KWANI NI WEMA PEKEE? TATIZO LA WEMA NI KWAMBA ANAJUTIA DHAMBI ZAKE?

      Delete
  7. ALL IS ABOUT BIOLOGY(THEMA-REPRODUCTION)

    ReplyDelete
  8. Iyo issue yake ilikuwa silazima aweke open sasa manayake nini kama ni kosa alifanya yeye angikika kimya akatubiya kwa mola wake .uyo anataka kiki

    ReplyDelete
  9. Kwani kama anajutia zambi sake wewe sasa inakuhusu nini!? siukae kimya! Kwani mtandao huu niwakwako mpaka uwawekee watu masharti yakuonyesha hisia zao!! Au kwani nilazima nawewe tu Ucomment kila kitu!? Acha ubwege boya wewe

    ReplyDelete
  10. Acha ubwege wewe kwani nilazima nawewe ucomment!?

    ReplyDelete
  11. anitafute shida c mtt tu

    ReplyDelete
  12. POLE DADA WEMA JIPE MOYO WA KUPATA MTOTO MUOMBE MUNGU KWA KUMAANISHA MAANA HATA HAO WANAOKUHUKUMU KUWA NA DHAMBI NYINGI WASIKUUMIZE KICHWA KWANI NINACHOAMINI MIMI NA KILA MTU ANAEMJUA MUNGU...........HAMNA DHAMBI ISIYOSAMEHEWA PIA HAMNA DHAMBI KUBWA WALA NDOGO MUOMBE MUNGU ATAKUJIBU PIA SISI WENGI TU TUNAKUOMBEA ....AMEN!!!!!!

    ReplyDelete
  13. Juc b patient coz evry thing juc happen for a reason...hilo ni jaribu lako na hujui Mungu kakuandalia nini kwa kesho usio ijua...zidi kumuomba na kumtumainia••••ILA no 1 is perfect kila mtu Ana mapungufu yake ivo nyie mnaofanya judgement sio kaz yenu...mfyuuuuy

    ReplyDelete
  14. Hiki alichokiandika Wema ni kuendelea kujitia aibu kwani hapa juzi aliidhihaki mimba ya Zari kwa kuonyesha dharau za hali ya juu leo hii anajifanya kuleta maneno ya kutaka kuhurumiwa anatakiwa ajue MUNGU NI FUNDI na hachezewi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Bora aendelee kuwa tasa. Mtoto gani anataka fupa lililomshinda fisi liwe mama mzazi. She is worse than mariam sepetu. laana tupu

      Delete
  15. Ni kweli wasio na watoto ni wengi ila asemwae ni wema kila kukicha kisa hakuzaa na huyo diamond, so anahaki y kuwambia hao wenye kutupa mneno kila siku kua hazai. speaking of zari kama ameamua kuzaa ni kwa kudra za mwenyezi Mungu kushika hiyo mimba kwani kama kuzitoa katoa saana tu nayeye.

    ReplyDelete
  16. kama unataka mtoto utapata kama una nia kweli utapata jipe hope find me on 0785 161 140

    ReplyDelete
  17. Na nyie nanyi, hiyo mimba ya Zari mmeiona au mnajisemea tu, au kwa vile mumeona tumbo kubwa mnakazana ni mimba, tumbo la mimba bwana llinajulikana kama la Hamisa Mobeto hata ikiwa miezi 4 inawamba huku kwa chini kisha taratibu linapanda juu, linawamba tena juu kisha karibia kujifungua linawamba kama ngozi iliyovutwa huku chini kwa sababu mtoto anakuwa maeshashuka anasubiri tu kugeuza kichwa chake atoke.

    Mie sijaona tumbo la mimba ya Zari bado, halafu ndio maana wanaume wengi wanaliwa pesa zao kwa kisingizio cha mimba. Wewe tumbo hili la kawaida hili likakae mtoto ndani yake mwenye kilo 1 mpaka 3 au 4 liache kuwamba kama limevutwa? Lazima ngozi ya tumbo iwambe kwa sababu ilikuwa ndogo sasa inakuwa inaongezeka kwa kuwa kuna kiumbe ndani. Wajinga ndio waliwao.

    ReplyDelete
  18. Pole sana wema jipe moyo kutopata mtoto au kutoshika mimb izo ni kudra za Mwenyez M ungu maana hata hawo wanao kuhumu wanamaovu yao. wasikuumize kichwa endelea kumuomba ALLAH atakufanyia wepes kwenye jambo lako nami nakuombea Inshaallah mzuryramadhan@gmail.com .0653660240

    ReplyDelete

Top Post Ad