Kisa cha Wema Sepetu Kilichomfanya Aandike Ujumbe wa Kusikitisha Kuwa Hana uwezo wa Kuzaa Hichi Hapa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ilianza Hivi:
Muigizaji maarafu wa filamu nchini Tanzania,Wema Sepetu alizomewa kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram baada ya kuweka picha ya mlimbwende Hamisa Obetto akiwa mjamzito na kuandika maneno ya mshangao

”Jamani my mdogo umezaa.!wewe ni mwanamke sasa”.

Ujumbe huo ulizusha tafrani kwa baadhi ya watu na kumjibu Wema kwa maneno makali yenye kebehi ya kwa nini yeye hazai anakaa kushabikia watoto wa wenzie tu.
Gumzo hilo lilifwata mkondo tofauti pale ambapo mchumba wake wa zamani mwanamuziki Diamond Platinum akitarajia kupata mtoto na bi.Zari kutoka Uganda ambaye ni mpinzani wake mkubwa Wema.

Wema Sepetu aliweza kujibu tuhuma hizo kwa kusema yeye si mpanga wa yote,''ningekuwa na uwezo wa kuzaa angezaa siku nyingi ila ni Mungu ndiye anapanga'',

Alisema kuwa ''nimekuwa nikihangaika kupata mtoto usiku na mchana''

aliongezea kusema kuwa si rahisi kwa yeye kuwaambia kila kitu,kwani yeye pia ni binadamu na kuwa
''anaumia sana na maneno makali watu wanayoandika au kusema kumhusu''.
Ujumbe wa simanzi kutoka kwa muigizaji huyo ulirudiwa na baadhi ya waigizaji kama Iren Uwoya na mashabiki wengine
ukionya tabia ya watu kutoa matusi makali kwa Wema bila kuangalia upande wa pili,maana siku hizi kuna team kwenye mtandao pia zikijiita team Wema na Team Zari
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mungu atamsaidia atapata mtoto siku moja...Mungu ni wa kila mtu wala sio wa watu fulani tu ...usijali Wema ipo siku utanyonyesha mtoto wako mwenyewe.

    ReplyDelete
  2. Kiukweli watu waache ushabiki nawaangalie ubinadamu ushabiki gani mpaka mnamuingilia mtu na maisha yake binafsiii....kumpenda mtu kupo ila usimpende mtu ukamponda mwingine kha!!!!!!!!!!!sidhani kama kuna msaidizi wa Mwenyezi Mungu hapa ambae anajua kila kitakachotokea kwa mtu.........tusiwe tunawakwaza watu na kuwaingilia saaana bila faida yoyote.

    ReplyDelete
  3. Usikate tamaaa Allah ndio muweza wa yote lia na mungu wako

    ReplyDelete
  4. Huyo domo nae asijishaue sana asubiri mtto azaliwe apime DNA mwanamke mwenyewe hajatulia huyo na asidanganye watu DNA huwezi kupima kupitia kwenye mimba

    ReplyDelete
  5. It reminds me story moja houston kuna MKAKA huyo aliachwana demu wake wa long time alimdate bongo demu alivyokuja hapa Texas akaona jamaa hajatulia.Basi jamaa Mara demu wake wa state nyingine alaja hapa Texas .Jamaa akawa yupo wakati mgumu kuchagua Yule aleanza nae bongo na Huyu aliekuwa nae hapa USA kabla Yule hajaja USA .Kwa Sababu Yule wa bongo walianza mbali na mtoto ametulia bwana wewe jamaa akaona Huyu wa bongo hatoweza kwenda popote jamaa alijiamini mnoo .Basi demu Yule wa state nyingine akahamia na Yule wa alietoka bongo akamfungia jamaa milango nahakutaka tena kumsikia .Jamaa akabakia na Yule demu wake wa out if state .Jamaa alijitahidi kurudi ikashindikana wacha aanze kampeni ya kumharibia Yule demu alietoka bongo yaani jamaa akawa anasema Mara demu gay ,Mara hazai ,Mara hili na lile.Jamaa sasa hivi anawatoto kila kona na Yule demu waliotoka mbali aliemzulia hazai ili wanaume wamkimbie anawatoto na yupo kwenye NDOA fiti .MY POINT ni Wema anaweza akawa muongo tu kujisafisha kwa fans wake ili watu wa hisi diamond anahaki yakumuacha kwa Sababu hazai

    ReplyDelete
  6. nikweli kabisa na hataka hukujaliwa, kuna watoto yatima kibao abao wanatafuta mama i believe you will be a wonderful mother.

    ReplyDelete
  7. So sorry WEMA,sometimes people don't understand.just live ua life and be happy,averythng happen for a reason.LUV U.

    ReplyDelete

Top Post Ad