Kova: Ole Wenu Wafuasi wa Gwajima

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kamanda Kova amewaonya vikali wafuasi wa Gwajima kuandamana Leo kuelekea makao makuu ya polisi ambapo mch. Gwajima Leo atahojiwa.

Onyo hilo linakuja baada ya mchungaji Gwajima kuwaambia wafuasi wake wakati wa ibada ya pasaka kumsindikiza makao makuu atakapoenda kuhojiwa.

My take;
Gwajima bora uwazuie wafuasi wako kwani watakula kichapo kikali Kova huwa hatanii waulize wanabawacha

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Bana lolote huyo kova.,mnaacha kulinda usalama mnahangaika na watu walio wema angalia jinsi mambo ya kigaidi yanavyoendelea,vituo vya polisi kuvamiwa askari kuuwawa na watanzania kukamatwa na tuhuma za ugaidi,kazi yenu kuangalia mambo ya kitoto ndo mana mnavamiwa jiulize we kova kabla yako na baada yakuja hp dar uhalifu umeongezeka km unawatuma wewe mana hujui kazi we ni kushindana na rais tuuuu ili Nani akusifie????mnatuudhi sana na tumewachoka maana hamtulindi ila mnatuangamiza.,ngoja cku waingie chumbani kwako ndo utajua km unalinda usalam au unalinda ugaidi kwa utendaji wako,böra tujilinde wenyewe mana dunia imeharibika sasa amka wewe acha kulumbana na wanaoiombea nchiii.,mpaka naandika hii nimechoshwa na uwajibikaji wenu wa kuangalia raia kafanya nini mnaleta matelevisheni muonekane sio sida ndo mnapohisahau na kuwapa mwanya magaidi kuuwa ndugu zetu maaskari staili yenu mbovuuu.,amkeni bwana najua watz wote waiga ila nyie mmepewa magwanda na mfunzo ili kulinda usalama wa raia acha Wake wanaolinda nchi nao hawako makini.,we askari jeshi anakamatwa na hela bandia.,je ambao hamjawakamata mnawajuaje jinsi walivyo???amkeni bwana Na mbadilike acheni kufanya kazi kitaarabu nyie kusutana tu hasa polisi...,

    ReplyDelete
  2. Bana lolote huyo.,anaogoopa watu akiona mikusanyiko tu mavi yanawagonga chupi.,wanaivamia hawakusanyiki ukawaona mbina km hujui mbinu za kijeshi wewe??wanaume wanakuja kimyakimya na km hujui inawezekana waasi unavaa nao sare huwajui,km wanafunzi magaidi je hao ulionao je???

    ReplyDelete

Top Post Ad