Lemutuz Asikitishwa na Kifo cha Ghafla cha Rafiki Yake Super Bilionea Seky

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Live at my Office downtown Dar Tancot House 2nd FL kazi kama kawa maana Mwanaume ni kazi kwanza ninasikitika sana kutangaza kifo cha gafla cha rafiki yangu wa karibu sana Super Bilionea Seky.

I am speechless Wiki mbili nzima zilizopita mara kwa mara tumekutana Mliman City na Tripple 7 Club mara ya mwisho tulikuwa wote Jumamosi iliyopita mke wake alikuwa anaumwa sana tukaenda wote Baraka Plaza tuka kaa masaa mengi kumsubiria mke wake na leo asubuhi saa tatu.

Tumeongea sana kwenye simu kuhusu viwanjani leo akaniahidi kunipigia back in One Hour twende wapi leo 1 hour ago nimepigiwa Simu kuwa amefariki ghafla Ohh my God bado I am speechless.

Ninamuombea sana mke wake na watoto katika hiki kipindi kigumu sana kwao this one really hurts Binadam tunapita tu hapa Duniani we are just weak creatures of God.

I cry for U Seky a great human being Mungu amuweke mahali pema peponi, please people lets pray for my friand
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Pole sana Lemutuz,all in all,we have to lean kwa hiki kifo you know,
    You know jambo kubwa ni kuwa tayari my dear,
    swali je are you ready kama iki-happen sasa hivi,utakuwa wa Mbingu au wa moto?

    ReplyDelete

Top Post Ad