Linah: Wasanii wa Bongo Wakiweka Picha Mtandaoni na Kuvaa Kama hivi Wanapondwa ila Picha Kama Hiyo Akiweka Rihanna Wanamsifia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii Linah anasema wasanii wa bongo wakiweka picha kwenye mitandao ya jamii wanapondwa,picha hiyo hiyo akiweka Rihanna anasifiwa kisha akamalizia kwa kusema Tusupport wa nyumbani.

Wewe unalipi la kushauri hapa?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Picha ya kushoto na ya kulia umebana pumzi wakati picha inachukuliwa na hiyo ya katikati ni real jinsi ulivyo yaani una kitambi cha beer na manundu manundu ya pembeni left'n'right juu ya kiuno chako kama mimba changa ya mbuzi punguza punguza mafuta hayo mtoto wa kike sorry kama nitakuwa nimekukwaza but that's the way i see it kuhusu hiyo figure yako (maybe kioo kinakuongopea)kwa hiyo bado saaaaana kuwafikia hao uliowataja ki figure wish u goodluck

    ReplyDelete
  2. Tusapoti watu kutembea uchi!? Huo sio utamaduni wetu Dada acha ulimbukeni. Kwa iyo rihana akitembea uchi na wewe watembea uchi?mxiiiiiim ovyooooooo

    ReplyDelete
  3. malaya tuu huyu

    ReplyDelete
  4. Upuuzi hebu nenda kwenu uone kama watu wanavaa uchi!
    Hizo sio mila zetu dada ni ulimbukeni wa kuiga kila mnachokiona wenzenu wanafanya.

    ReplyDelete
  5. Hayo maavazi sio kwa utamaduni wetu wa Tanzania na hakula kabila LA Tanzania wanakubali mwanamke kuvaa nusu uchi. Huwezi kumuiga Rihanna yeye sio Tanzania. Hapo umechemka sana na umeonyesha upeo finyu wa kufikiria
    .

    ReplyDelete
  6. Acha ushamba wewe sio Rihhana. so unataka tukusupport kuvaa kimalaya malaya hapa ?? ebo!!

    ReplyDelete
  7. NDIO TATIZO LETU WAAFIKA HATUPENDI KUSIFIANA SISI KWA SISI. KAZI YETU KUBWA NA KUPONDANA TU. BINAFSI SIONI TOFAUTI YA RIHANA NA LINA KABISA!!! BASI KWA VILE RIHANA NI MMAREKANI BASI LAKINI KUIAMBA HATA LINA ANAIMBA SAANA TU.LINA USIFE MOYO KAZA BUTI WAAFIKA NDO TULIVYO NI SHEEEDA!!!!!!!!!!! HASA WA TZ TOFAUTI INAKUJA TU HATUNA STUDIO KALI NA WATAALUM SANA WA KOREKODI MUZIKI KAMA WENZETU LAKINI UIMBAJI TUNAWEZA SAANA TU.

    ReplyDelete

Top Post Ad