Lulu Afuata Nyayo za Wema, Ahamasisha Matumizi Bora ya Mitandao ya Kijamii

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Staa mrembo kutoka Bongo movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ mwenye followers zaidi ya laki nne kwenye mtandao wa Instagram amewataka vijana kutumia mitandao ya kijamii kujengana zaidi ikiwa ni siku chake baada ya staa mwenzake, Wema Sepetu kuwataka wanawake na jamii kwa ujumla kutumia mitando hiyo kuhamasishana kwenye vitu vya kimaendeleo zaidi.

“Nikiwa kama kijana mpenda maendeleo,mwenye ndoto na malengo ya kufika mbali najua mawazo yangu pekeyangu yanaweza yasitoshe mimi kufika ninapopataka....najua wapo vijana wengi wenye nia kama yangu..!
Nadhani umefika wakati wa kutumia mitandao ya kijamii kwa kujengana na kusaidiana hasa ki mawazo ili wote tuweze kuwa sehemu flani siku moja.....” Lulu amendika

Nadhani Ujumbe umeeleweka.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. anamuiga wema she wanna be like wema anatamani yeye ndo angekua anapendwa kama wema lakini wapiii?? akitulize...kaiba mume wa Husna rafiki ake atatuambia nini bana....huoushauri auchukue yeye mwenyewe...umsaidie yeye bongo movies kujifanya watakatifu wakati wa kawaida sana...mbululaaa tu mxiewwww

    ReplyDelete
  2. tumemchoka huyu mtoto hana jipyaaaaaaaaaaaaaaaaaaa............

    ReplyDelete
  3. mh eti waitumie kwa mambo mazuri then what daaah the fuck?

    ReplyDelete
  4. ila ww mwenye blog una promotigi ujinga lulu this that so stupid.....

    ReplyDelete
  5. nyayo za wema hawezi hata kuzifikia hata kiduchu..lulu ni mnafiki sana na wema awe anaangalia lulu anakuchora sana she seriously wanna be like you but anashindwa...take care wema

    ReplyDelete
  6. huwezi kutembelea nyayo za wema team wema forever....huyu mtoto huwa anamsemaga sana wema kwa watu but wema does not know wema sepetu kama unapita take care sana na huyu adhunje lol!

    ReplyDelete
  7. Ungekuwa na akili Lulu usingekuwa mitaani ungetulia tukusahau, unatukumbusha machungu tu kwa nini hukufungwa MUUWAJI mkubwa wee. Unajishebedua kuuza nyago wenzio tunakung'ong'aaa. Kwanza una Gundu wanaume zako wanakufa vifo vya utata.

    ReplyDelete
  8. hahahahahaaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  9. Muwege mnasoma na story khaa kwani hapo Wema kaingiaje? Lulu na Wema nani kama Star before halafu mseme lulu anataka kuwa kama Wema? Lulu star tangu miaka hiyo hatujaijua hata hiyo 2006 kama kutakuwa na mtu kama wema. And ustaa wa Wema ni upi? Kwani Wema ni bongo movie au? Mana Sijui movie alizoigiza zaidi ya mbili zile. Jamani muwege mnaangalia ndiyo huyo Wema wenu anapendwa Ila nyingi ndo mnamletea maadui mana kama mimi hapa nampenda Wema na huyo lulu Ila tangu mmkoment upupu hapa mnashusha dhamani ya huyo star wenu. Lulu ananini? Anamali zake binafsi hata kama kahongwa but we all know kanafanyakazi haka katoto na kanatoa movie hata Wema bado ahajamfikia lulu kwa ustaa Ila ndo watu wametulia na huwa hawatafuti attention. Sasa nyinyi kaeni kumgombanisha hiyo Wema wenu na kila mtu. Lulu anamuonea wivu Wema kwani wema ndo anampa lulu kula? Yeye ndo anamsaidia kulea familia yake? Mxiuuuuu. Lulu endelea na life yako mwaya hawa mashabiki mavi wasikuumize kichwa.

    ReplyDelete
  10. KAFIE MBELE WEWE, HIVI UNAMJUA WEMA AU UNAMSOMA KWENYE UDAKU TU, UKIANZA FATILIA MOVI ZA WEMA HUTOJUA IDADI YAKE, NAONA UMEKURUPUKA USINGIZINI HAYAWANI WA KWAMTOGOLE.

    ReplyDelete
  11. KAFIE MBELE WEWE, HIVI UNAMJUA WEMA AU UNAMSOMA KWENYE UDAKU TU, UKIANZA FATILIA MOVI ZA WEMA HUTOJUA IDADI YAKE, NAONA UMEKURUPUKA USINGIZINI HAYAWANI WA KWAMTOGOLE.

    ReplyDelete
  12. kauze mkaa huko, Wema kacheza muvi nyingi na marehemu kanumbua ndo alomuingiza sasa unatulete story za Lulu wa mwaka juzi huna ujuaalo, ndio sisi ni team mavi na wewe ni team kidonda kunuka na inzi juu.

    ReplyDelete
  13. WEWE NDO DIVION 5 KAMA SI 0. UNATAKA KUMFANANISHA WEMA NA LULU? KATAFUTE BWANA WA KUKULMBA KWANZA NAONA HUJAPATA DUDE LONG TIME.

    ReplyDelete

Top Post Ad