Lulu: Ifike muda tutumie mitandao ya kijamii kusaidiana mawazo na sio kutukanana

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Moja ya mambo sita tuliyoandika kuwa ni sababu ya watanzania kuupenda mtandao wa Instagram, ni kushuhudia matusi ambayo mastaa wanayavuna kutoka kwa followers wao.

Lakini unadhani Instagram inapaswa kuwa sehemu ya kihuni kiasi hicho? Hapana.

Muigizaji wa filamu, Elizabeth ‘Lulu’ Michael anaamini hawezi kufikia malengo yake kwa mawazo yake pekee bali anahitaji msaada kutoka kwa vijana wenzake ambao nao wana nia na malengo kama yake katika kufikia ndoto zao. Ndio maana anahisi Instagram inaweza kuwa ni sehemu nzuri ya vijana kupenda michongo na sio matusi.

Nikiwa Kama Kijana Mpenda Maendeleo, mwenye ndoto na malengo ya kufika mbali najua mawazo yangu peke yangu yanaweza yasitoshe mimi kufika ninapopataka,” ameandika kwenye Instagram.

Najua wapo vijana wengi wenye nia kama yangu..!Nadhani umefika wakati wa kutumia mitandao ya kijamii Kwa kujengana na kusaidiana hasa ki mawazo Ili wote tuweze Kuwa sehemu fulani siku moja.”

Lulu ameonesha wazi kuwa hapendezwi na tabia ya baadhi ya watu ambao wamekuwa wakitumia mitandao ya kijamii vibaya hasa kwa kudhalilishana.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huna lolote wewe! Mal..ya tu wewe! Ushenzi uliuanza ukiwa na miaka 10 pale Tabata dampo hukutaka ushauri toka ukiwa mdogo iweje uje ushauriwe mmama mtu mzima

    ReplyDelete
  2. vajini inamuwasha!

    ReplyDelete
  3. mmmmmh ni shida

    ReplyDelete
  4. Sure lulu.,lkn nn life tunaloishi km mwenyewe unaona wazi unamkosea Mungu sio mtu lazima tubadilike hasa mtu km wewe ni kioo namaanisha unaonekana ht km wewe hujioni life lako unaloishi( daah sory km nakudis ila ndo michongo yenyewe)sio umri wako na skendo ziwe kweli au sio we unajua unapotosha lulu.,sio issue nafasi unayo ndo mana Upo hai unapumua ni Mungu kakupa nafasi nyingine ili UTENGENEZE palipoHARIBIKA ,km ulipotosha jamii kuiga maisha unayoishi eti il upate pesa lazima ujiuze kwa mapedeshee basilika sasa,fanya kazi waige mfano mzuri,vaa mavazi ya heshima cheki hicho kinguo sasa daah ht sidiria hujavaa chuchu mmwwaa,hilo pozi sasa km unasukumiwa vile.,Hayo ndo hayatakiwi lulu,tinga vitenge vyako safi iwe juu ya goti kidogo isiwe mini sana,afu acha pozi dizaini hiyo ndo mana unatukanwa mtoto mzuri,km KUJINADI promo inatosha ushajua mpaka za wazee unataka nini sasa KUFA au.,BADILIKA ubadilishe jamii ht km ni mmoja aliiga atageuka kwa jinsi ulivyo mzuri,unaakili(sema unajitoa ufahamu)mtaji nadhani umeshapata kote ulipopita anza maisha upya zaliwa upya badilisha historia yako UKIOKOKA utakuwa bonge la mshindi utafanikiwa sana we unaAKILI SANA afu utaolewa na mwanaume mzuri kutoka kwa Mungu.....,ningekuwa sijaoa ningekuoa mimi ila umechelewa nakuombea sana..,mwenyewe huwezi ila ukitii utafaulu.,

    ReplyDelete

Top Post Ad