Lulu: Nilimtolea Uvivu na Kumpa vidonge vyake Shabiki Huku Instagram ili iwe Fundisho kwa wengine

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

ELIZABETH Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa juzikati aliamua kumjibu shabiki mmoja mtandaoni kutokana na kuwepo kwa watu wengi wanaomsema vibaya mitandaoni

Akizungumza na mwanahabari wetu mara baada ya kumjibu shabiki Gladmarry Edwine aliyemkejeli kupitia mtandao wa Instagram kuwa ikifika siku ya Kanumba Day (Aprili 7, mwaka huu), Lulu atajiliza ndipo staa huyo alipomtolea uvivu iwe fundisho.

“Yule alinikuta siku hiyo siko vizuri halafu niko Instagram nikaamua kumtolea uvivu kwa kumpaka maneno ya shombo iwe fundisho,” alisema Lulu.

“Yule alinikuta siku hiyo siko vizuri halafu niko Instagram nikaamua kumtolea uvivu kwa kumpaka maneno ya shombo iwe fundisho,” alisema Lulu.

Lulu alimwambia mtu huyo kuwa asijifanye anamjua sana Kanumba kuliko yeye ambaye alikuwa akilala naye kama mchumba wake.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kama staa kubali positive n negative things ww admin lulu kakuajili maana haipiti wiki bila habari yake mwambie kumponya mpenzi wa husna tabia mbaya ndo maana na vyake vinaliwa na badoooooooooooo...kulala na kanumba hakumfanyi amjue kanumba zaidi ya mamake kanumba aliemzaa akitulize

    ReplyDelete
  2. Wewe Admin, mwambie huyo malaya kwanza alitakiwa kukaa kimya, kesi bado haijakwisha kwa hiyo asianze kujiona kama vile yuko huru,, angefumba domo lake aendelee kuuza kuma yake kwani kifungo kinamsubiri

    ReplyDelete
  3. ALIKUWA MCHUMBA MALAYA MWENZIYE?? Hivi anajua maana ya mchumba huyo Lulu yeye aseme kuwa alikuwa anamjua sana huyo malaya mwenziye kuliko huyo dada wa Istagram hapo tutamuelewa!!

    ReplyDelete

Top Post Ad