WEMA SEPETU afunguka 'Ninammiss sana Diamond, sema IQ yake ndogo'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wema anaojiwa sasa hivi na Gardner G Habash, anasema ni namna gani anammiss Diamond.

"Unajuwa diamond ni mtu tuliyekaa nae miaka mingi sana hivyo kama binadam uwa natokea kummmiss sana".
Anaendelea... "Sometimes uwa naweka nyimbo zake kwenye gari langu sababu pamoja na yaliyo tokea mi ni shabiki na nimefall sana kwake... Najua kuna watu wataichukulia vibaya kwamba oooh oooh amemmiss amemmiss ila mimi nimeamua kuwa honest. Kuna kipindi inanitokea tu nammiss sana unajua kuna vitu tulishea na yale mazoea kwa kweli nammiss ata yeye najua ananimiss ila anajifanya tu.

Nilishawai kumtext lakini hakunijibu, lakini namjua mwenzangu mkishakaa mbali ana zile kupoteza moja kwa moja, unajua mimi sio mswahili na haya mambo kila mtu na IQ yake mimi ata tukiachana tutabaki marafiki ila mwingine unakuta tatizo sijui malezi au IQ sijui.

Source : EFM na Gardner & Bikirawakisukuma
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

19 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wewe hunaga akili ndo nn kusema mambo yako ya siri kuwa ulitoa mimba haya sasa walikuchokonoa wamekuharibu kizazi

    ReplyDelete
  2. aaahh mambwakuuu ndivo alivosema!!? ata iweje nisingeiambia jamaii nimetoa mimba never ntaenda nalo kaburini aka!! so all the interview was abt mond bin laden eeehh!! thot ukifika kule u have ur terms n condition tutoongelea kuhusu mondi aaahh umeniangusha aisee, love mondi music n love wema too najua apart from music dai ako na ujinga wa mapraudi too, wema si waswahili hatuolewi pipo to be honest ivo watakuchukulia walilia penzi ndio tulivo best ni kuepuka kuongelea ur X kataa kabisaa, ur keeping sayin 2015 ni mwaka wa historia na bado hujatoa chochote fans tungali tunasubiri hemu fanya mambo wacha maneno mengi! wish that not all in interview kuna mengine zaid ya maana uliongea abt ur project!

    ReplyDelete
  3. Hamna project yoyote project aliye muhonga BMW kisha mkimbiya alifikiriya iyo ndiyo project ya 2015 sasa anaona bora arudi kujifanya ana miss chibu kasahawu kama alionesha pete na vituko na huyo msenge wake martin kwenye kipindi chake in my shoe alimwambiya martin kuwa anataka kuolewa project imekwisha ila project ya chibu ya safari hii ameleta good result Mashallah .looo nasafari hiyi ukija kurudi kwa chibu utakuwa kuna market kweli Zingifuri

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wema IQ yako pia ni ndogo. ijust move on and forget about Domo..live your life and forget about your abotion business .. unaaibisha..hujui kutoa mimba ni dhambi? Ulaaniwe ndio maana walikukomoa wakakwangua kila kitu..sasa unajijutia kwa zambi zako

      Delete
  4. Haya team Wema mpo? Oooh amemove on kikowapi?? Na msg anatuma.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Enzi za kina Penny na Jokate aliweza kumchukua domo. Kwa sasa yuko Zari. Wema tafuta mganga utibiwe UTASA. Nyege zishaaza tena kukupanda unatafuta wa kukuvuruga. Nenda kwa Ivan,K.Lawrence,Ommy,Idrissa,C.baba,na wale wengine. Kwa DAI NA CK umechelewajeee

      Delete
  5. KWANI MTU AKISEMA KAMIS KITU KWA X WAKE NDO ANAMTAKA? KUMBEWASHAMBA WENGI HUMU NA KAMA PROJECT YA WEMA IMEKWISHA WEWE KINAKUUMA NN? MBONA YAKO HUISEMI IMEFIKIA WAPI, UNAMPONGEZA DAI KWA KULEAMIMBA SI YAKE? NA UNAJUA BI KIZEE KATEMBEA NA WANGAPI? HUYO ALMASI SI ANAMALIZIA MAKOMBO KAMA WEINGINE. TULIA KAMA UNANYOLEWA.

    ReplyDelete
    Replies
    1. MIMBA SI YAKE YA BABA YAKO AU YA BWANA WAKO, MMEKALIA UMBEA WA KINGESE NGESE NDIO MANA HAMFANIKIWI, IMEWAUMAAA NDIO ISHATOKAAA HIYOOO MTOTO ANAKUJA

      Delete
  6. kweli bora ukose mali upate akili. Ndio maana mfalme Suleiman aliomba hekima. Hii kali

    ReplyDelete
  7. Huyu dada mimi nampenda sana tena mno, na ndio maana nahisi interview yake hiyo imeniumiza sana, nimekosa usingizi hadi naumwa, nimewaza sana hadi nikahisi kwamba huyu mototo atakuwa ni kiburi, jeuri na asiyependa kufuata ushauri wa watu. Nina imani kabla hajakwenda kwenye interview kuna watu walimshauri nini cha kuongea na swali gani la kujibu lakini hakutaka kusikia ushauri wa mtu, yani hana nidhamu aiseee, mie kaniumiza kweli.

    Mimi nina niaka 35 sasa nimeshawahi kuwa kwenye mahusiano mengi tu, ila hata siku moja ukuti nikasema sema kuhusu X wangu.....kama kuna yule ambae bado anakuheshimu huna budi na wewe kumuheshimu lakini kama mtu akuheshimu na wala hana mpango wa kukuheshimu kwanini wewe ukae ukimzungumzia na kumtext, no matter how the situation is tough on his side don't put u'reself on his shoes. kwani akumbuki ule wakati alimtunza hela on the stage Daimond akazikataa. Ulimpigia simu akakurekodi, na mauzauza kibao. kwanini unatuumiza watu wako. Why don't you love us the way we love u, y do u keep on coping and pasting. Badilika basi, Leta habari mpya za maendeleo yako. Nyimbo za dai sikiliza hata ukiwe unaoga lakini don't tell jamii kuwa unammiss hadi hujiwezi jamaniiiiii come oooooon my dia, come ooon. Style up and live ure life. Jamii tunakupenda na tutakusapoti tu, ukitaka kujua kama tunakufuatilia ni kwamba kila mtu kasikiliza au kasoma ulichohojiwa so kila utakacho kifanya tunafuatilia, mama huu ni wakati wako wa kutengeneza pesaaaaaa.

    Alafu nahisi Daimond wala hakukupenda kwa dhati wema, ni presha ya jamii ndio ilifanya mrudiane lakini sio kwa mapenzi I swear. Mtu aliyekupenda hakunenei mabaya hata siku moja

    IQ unayoizungumzia wewe huna kabisa mpendwa unatuumiza mashabiki wako, unafanya tujifungie ndani na kuogopa jamii itatuangaliaje. Kutoa mimba sio kitu kizuri cha kukiongea hadharani, nahisi mama wema atakuwa ameumia sana. Unamuumiza mama wema jamani kaa kimya, na ujifunze nidhamu.

    Nakupenda leo kesho na siku zote.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Uko sawa kabisa. Huyu Wema naona ameisha anza changanyikiwa,, isitoshe watu zake wa karibu wanazidi kumchangaya

      Delete
    2. I real love Wema kama nkiwa shabik siezi mlaaumu sana akiongelea issue ya X the way this pple they treated one another hiyo ndio itamuaffect Wema leo na Kesho. Its very painful najua kukubal hali ni ngumu but sorfar hana budi kukubal kwamba kaachana na Dai. Tusimulaumu kwa kuwa 2ko kinyume na Dai bt 2vae viatu kusaha mapenzi mazuri na yakutamanisha walokuwa nayo kwa Wema ni ngumu coz alimpenda Dai kiukwel licha Dai kuwa na fake Love Pole sana Dada hata wa2 wakisema IQ Ipo chin maybe haijamkuta m2 na wala hajawai penda kiukweli.Kadri siku siendavyo itaisha.

      Delete
  8. Hallo hallo mwenyezi mungu mkubwa analipa duniyani akhera ni hisabu .mwenyewe kaka akazungumza tanzania nzima wamesikiya hakusema shabiki wa chibu awo wa zari

    ReplyDelete
  9. siamini macho yangu mimi ningekaa nayo moyoni hasa kama nipo kwenye public figure.mimi nahisi waongo wema hajanena haya kama kweli thumb down

    ReplyDelete
  10. Weka hiyo clip kuwa alisema hayo ndio tutakuelewa lakini hivi hivi yaweza kuwa ni majungu tu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Majungu ya nini na kwa kipi aswaa kwa mdomo wake kaongea muwe mnasikiliza radio sio kushinda mitandaoni kutukana watu

      Delete
  11. Mambo 10 Aliyosema Wema katika Maisha Baada ya Kuachana na Diamond
    John Sambila Reply Friday, April 17, 2015 A+ A- Source: http://www.jestina-george.com/2015/04/mambo-10-aliyosema-wema-katika-maisha.html

    Ijumaa hii Wema Sepetu alikuwa mgeni kwenye kipindi cha Ubaoni cha EFM. Miongoni mwa mambo aliyoulizwa ni pamoja maisha baada ya kuachana na Diamond Platnumz.
    Haya ni mambo 10 aliyosema:
    1. Maisha yake bila Diamond yako poa tu japo mazoea yaliyokuwa yamezidi kati yao yanamfanya wakati mwingine kummiss!
    2. Ameshakubali ukweli kwamba yuko mbali na Diamond
    3. Anaamini kuwa Diamond anammiss pia kutokana mazoea waliyokuwa nayo
    4. Wema na Diamond sio marafiki
    5. Hana kinyongo na Diamond ila anaamini kuwa Diamond bado ana kinyongo naye
    6. Ni shabiki na ataendelea kuwa shabiki wa nyimbo za Diamond
    7. Hawajahi kukutana na Diamond tangu waachane
    8. Hajawahi kumpigia simu
    9. Aliwahi kumtumia meseji Diamond kumpa pole kwa kuuguliwa na mama yake
    10. Bado hajapata mwanaume mwingine

    ReplyDelete
  12. watu wanaandika duuuh.... mngetumia hayo maandishi kuwa na uhakika wa maisha yako na familia inayokutegemea...

    ReplyDelete

Top Post Ad