Mh. Zitto Tunakuomba Ugombee Ubunge Jimbo la Ubungo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mimi nikiwa Mwananchi na mkazi wa Ubungo makoka nakuomba mh zito uje ugombee jimbo la Ubungo kutokans na kero hizi:

1. Mbunge wangu ameshindwa kwa kipindi cha miaka mitano ameshindwa kutatua matatizo ya maji. tunakaa mwezi mzima hatuna maji ni mateso
2. Barabara zetu mbovu hasa hii ya makoka Ubungo imefikia asubuhi nawakataa RAIA kenye gari yangu kwani barabara ni makorongo tupu na mbunge hatumuoni
3. Shule yetu ya kata hapa inashida nyingi mbunge kapotea wala kutembelea kutoa ushirikiano
4. Kuna shida ya daraja eneo la unyamwezini baadhi ya watu wamekufa mvua zinaponyesha kwa kupita juu ya Bomba la dawasko na mbunge hatujapta muona hata siku moja ni majanga
5. Vijana wengi wa Ubungo ajira hawana wanapanga vitu jioni kwenye transfoma za umeme Ubungo mbumge ameshindwa kutoa njia mbadala ili vijana wasikae maeneo hatarishi

6. Wananchi wa manzese wamesahau km wanambunge hajswahi tembelea ht ck moja. mitaro imeziba nyumba zimejaa maji kipindi hiki cha mvua mbunge wetu hana ht habari

Niishie HP kiukweli ninamengi sana mbunge wangu amefeli mtihani sizani tutampa tena nafasi.
Mh Zito njoo utuokoe sisi wakazi wa ubungo

By assadsyria3/JF
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Just coz he's a Leader.

    ReplyDelete
  2. Huyu mbunge inaonekaka alichaguliwa kwa manufaa yake binafsi na ndugu zake otherwise ni mbunge msenge anaefirwa na wanasiasa wenzake ili asahau majukumu,,, Fuck'n hell

    ReplyDelete
  3. Kweli uelewa mdogo ni shida kama Mnyika amekaa miaka 5 ameshindwa vipi kuhusu ccm iliyokaa madarakani kwa miaka hamsini au ni kutaka kupunguza majimbo ya Chadema kama inavyosemekana kwa nini zitto asiende Temeke au Kinondoni au wakina Zungu wameleta maji na kutengeneza barabara majimboni mwote!!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Acha utetezi wa kitoto wewe, unafikiri mabadiliko ni hadi ukae madarakani miaka mia(100)?
      kama una malengo thabiti ya kuwakomboa wapiga kura wako basi ujue miaka mi5 lazima utakuwa ktk positive side ya wapiga kura wako

      Delete
  4. Mleteni huyo zito auone mziki nyie mnafikiri hapa ni kigoma ??pumbavu sana hii nina dar es salaam na yeye siyo fala anajua.

    ReplyDelete
  5. Hapo hapo ubungo ndo anatakiwa mtu kama zito mwenye vision sio mnyika mropokaji

    ReplyDelete
  6. Huyo mwananchi ni mbururaaz tena kipofu.,huoni miaka 48 ya ccm hawajafanya kitu unatska miaka mitano mnyika awawekee maji na kujenga barabara??ulitaka atoe hela yake mfukoni??au unadhani zito anauwezo upi atatoa hela yake mfukoni???ufahamu Wako ni mdigi kufikuri,hili ni janga la taifa ht kakako kikwete analeta usanii tu kwa kulikwepa swala la maji.,miundo mbinu iliwekwa kwa watu milion 10kwa kutumia maji,Leo tupo zaidi ya milion 50 unadhani maji yatakidhi vp kusaplai wingi WA watu??fikiria kwanza ndo uongee.,zito hatumtaki ubungo aende hukohuko kwao mnafiki,mchonganishi,msahaulifu muongo,we umetumwa nini...,

    ReplyDelete
  7. Zito kibaraka tu nyie mapimbi,kapewa hela kibao aiharibu chadema leo anachonganisha watu km sio demu WA mtu unadhami atakiwaje??vission we Kuma nini maono gani aliyonayo..,

    ReplyDelete
  8. KABLA YA KUMWOMBA ZITTO AGOMBEE UBUNGO MUULIZE JIMBO LAKE ALILOLITELEKEZA AMEMALIZA MATATIZO YA WANANCHI WALE??? HIVI MTU UNAWEZA KUWANUNULIA VIATU WATOTO WA JIRANI WAKATI WA KWAKO WANAVAA KANDAMBILI????????????

    ReplyDelete
  9. Nyie mnaomtetea Mnyika nido mambulula haswa. My=nyika kzi yake ni kupanua domo tu kutaka sifa halafu utekelezaji na ufuatiliaji sifuri. Kama tunazungumzia mabadiliko sasa, mtu kama mnyika hatufai labda wewe unayemtetea mchukueni akawe mbunge wa ukoo wenu. Pussy manyoya nyinyi. 'Pumbaaaaaaaaafu na malofaaaa'

    ReplyDelete

Top Post Ad