Mke wa Hussein Machozi Aibuka na Kusema Haya Baada ya HUSSEIN MACHOZI Kusema Hakuwahi Kuoa Huko Mombasa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Yule dada aliyedai kufunga ndoa na Hussein Machozi ameibuka na kusema haya Maneno kwa Uchungu baada ya Hussein Machozi Kudai Anatafuta Kick na si kweli kwamba walifungua ndoa :

"Hey jameni hebu msinidhalilishe. mimi ndie mke wa Hussein. nasidhani nikwanini niseme nilifunga ndoa ya kiislam kama niuongo.mimi namuogopa sana Mungu. Ndoa nikitu ambacho nibaraka.
mume wangu amenidhalilisha kisa chakufanya hivyo sikijui. ila mm niko thayari kama akisema aniacha i will say fine. cause haina haja kua na mtu anaekukana ama anaekana Ndoa. Yamenisikithisha sana haya maneno. na kwaujumbe wenu yeye hakuthoroka ndoa. Bali mm ndie nnaeishi nje ya Africa. so yy alirudi kwao tu baada ya muda mrefu kua kenya mm nlipomuacha huko. ulizeni pande zothe mbili kabla kuandika haya maneno ati mwanamk athafutha kiki. kiki gani nithafuthe africa? Nimwaka gani tulifunga ndoa kama ni kiki mbona sikuithafutha wakathi huo? Muogope Mungu mumewangu. Usikufuru. ila kama ndoa inkushinda iepuke usiikane. duniani utaikana , je mbele yaa Mungu pia waezaikana nakuniita mm huyo mwanamke wakimombasa?
Am sorry realy. mm sina shida yakukimbilia mtu. Namshkuru Mungu Alhamdhulillah"

Hiyo meseji imeandikwa Hapa :http://www.udakuspecially.com/2015/04/husein-machozi-mimi-sijaoa-bado.html

Angalia Hii Video Jinsi Hussein Machozi Alivyosema Hajawahi Kuoa huko Mombasa
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tatizo mianaume ya kibongo miongo sana

    ReplyDelete
    Replies
    1. MIONGO SANA KWELI: HUYU JAMAA KAKANUSHA NDOA MBELE YA TV? MUNGU ALIMUANDIKIA DHAMBI KALI: ATAZIPATA SIKU YAMWISHO. AM SORRY FOR HIM.
      SOMETHING IS GOING WRONG WITH HIM.

      Delete
  2. ukweli tulikutana na hussein kwa kadhi tukichukua marriage certificate..hata mm nilishangaa kumuona hapo

    ReplyDelete
    Replies
    1. HUSSEIN NIMURONGO SANA. KAMA ULIKUTANA NAYE KWANN ANAKANUSHA NDOA? HAJUWI NIZAMBI KUBWA ZITAKAZO MULETEA MAZARA MAKUBWA DUNIANI? ANASHANGAA WHY KAZI ZAKE HAZIKWENDI JAMAA AMEPOTEA SANA: LITAKUA HILO NDIO SABABU. KUMKOSEA MUNGU:

      Delete
  3. Hussein umetuangusha sana ww.... tulijua you are innocent guy. what makes you denay your wife and your marriage. Is a shame to a man like you. umetuboo sana for your lieying interview.

    ReplyDelete

Top Post Ad