Mkeo/Girlfriend Katuma Picha zake za Uchi kwa Mwanaume

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wakuu naombeni ushauri... nimeishi na mke wangu wa ndoa kwa miaka kama 10 hivi sasa. Ila ndani ya muda huo ndani kumekuwa na migogoro ya hapa na pale ya kutoaminiana. Ila katika hali hiyo yeye ndiyo alikuwa ananishutumu mimi kuwa nina michepuko na yeye kujiona yupo innocent kama malaika. Lakini juzi kati hivi, katika pita pita yangu nikgundakuna mwanaume yupo nae busy ofisi kwake.

Nilipomuuliza akaribu kutoa utetezi ambao sikuridhika nao, nikaanza kumfutilia kimyakimya kenye simu zake n email zake. Siku ya siku nikkutana na chats kwenye whatsap baina yake na uyo mwanaume.. na mke wangu kimtumia huyo mwanume picha zake akiwa mtupu kigia kwenye kitanda chetu...

Hebu nipeni ushauri, maana hatua ya kwanza niliyoichukua ni kumrudisha kwa wakati natafakari maamuzi ya kudumu. Mpaka sasa yupo kwa mjomba wake..

Advice please guys!!!
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ukiona manyoya keshaliwa huyo. Ushauri upo kwako kupiga chini au kumsamehe maana anaonekana ni limbukeni wa mapenz huyo. Fanya maamuz ya kiume mdau.

    ReplyDelete
  2. kwa ufupi ni kwamba jamaaa anakula mzigo wako maamuzi toa mwenyewe lkn kwanza usifanye haraka kutoa maamuzi kaa na utafakari kwa kina faida na hasara ya maamuzi unayotaka kuyapitisha hakika utachukua maamuzi yaliyo sahihi.ni ushauri tu km ulivyoomba.wise man always make wise decision.

    ReplyDelete
  3. Hakufai tena uyo mana anakuendea kinyume. Kaa mbali nae

    ReplyDelete
  4. TAFUTA MWINGINE HUYO SIO MWAMINIFU

    ReplyDelete
  5. Are u serious kuna mambo hayaitaji ushauri WA mtu mungine yyte huyo me wako Katiwa wewe ndio unajua kiasi gani umekuuma kumsamehe au kutomsamehe watu wengine unawahusu nini? Please be a man

    ReplyDelete
  6. Angalia moyo unataka nn... respond on your inner voice.

    ReplyDelete
  7. we ni mwanaume angalia mwenyewe ufanyaje huyo c mwaminifu

    ReplyDelete

Top Post Ad