Msanii wa bongo fleva RICH MAVOKO Ajibu TUHUMA za Kujichubua Mwili Mzima na Kuwe Mweupe

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii wa bongo Fleva Rich Mavoko amekanusha tuhuma za kujichubua Baaada ya blog hii kuweka Picha zake Hapa zikionyesha  Kuwa Mweupe tofauti na zamani...

Rich Mavoko amefunguka na Kusema Haya:
 “Lazima tuangalie wakati hizi picha zilipigwa, hio picha nikiwa na dred Locks ni yazamani sana na siku na simu bora wala application za kuedit picha kama sasa, Hii picha mpya nimepiga na Iphone” .
Rich Mavoko ameongezea kuwa “Hata maisha yangu yamebadilika,so ni kung’aa tu kwa mtu na sio kujichubua, wanaonijua watasema sijabadilika zaidi ya kung’aa tu“.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Dogo don'panick wabongo ndivyo walivyo na tabia hii ya kuponda wenzao no matta what either negative or positive wao ndiyo lazima wataponda tu so stay put'n'take ice cream if u whatta mean

    ReplyDelete

Top Post Ad