Mtangazaji Charles Hillary Anyakuliwa na Kituo cha AZAM TV Kutoka BBC..Sasa Kurudi Tanzania

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ngome ya kituo cha Azam TV inaendelea kuimarishwa, baada ya kuzinduliwa kwa studio kubwa na za kisasa za kituo hicho zilizogharimu zaidi shilingi bilioni 56, inadaiwa kuwa kampuni ya Azam Media itamrejesha nyumbani mtangazaji mkongwe wa BBC, Charles Hillary kwaajili ya kuja kujiunga na Azam TV.

Mchambuzi maarufu wa soka Edo Kumwembe ambaye pia hufanya uchambuzi kwenye kituo hicho, amepost taairfia hiyo kwenye akaunti yake ya Facebook kwa kuandika:

“….Mtangazaji maarufu wa BBC, Charles Hillary, anarudi nyumbani kujiunga na kituo cha Azam TV…..welcome home LEGEND….”

Hata hivyo chanzo kingine cha kuaminika cha ndani ya Azam TV kimethibitisha kuwa Hillary anarudi kujiunga na kituo hicho.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Aaaaah Fazaa safi sanaa karibu tema tumezikumbuka huduma zako ktk midia kibongobongo haswa soka.,karbu rais wa TFF baadae kwa mtszamo wangu tu msikasirike washkaji...,PASAKA NJEMA..

    ReplyDelete
  2. Daaaah afu we mdau umewaza nini?ngoja niichekeche kwanza km itafaaa,karibu home brother tutakumis Epl azam mnatisha.ista njema kuwa makini

    ReplyDelete

Top Post Ad