Mwanamuziki H-Baba Amchungulia Mkewe Wakati Akijifungua...Baada ya Hapo Akaamua Kumwandikia Waraka huu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii mkubwa Bongo Hamis Baba Maarifu Kama H Baba kwenye Music Amemuandikia Waraka wa kumpa hongera mke wake Frora Mvungi baada ya kumshuhudia laivu akijifungua mtoto wa Pili hospitalini..

Flora amejifungua mtoto wa pili ambae amepewa jina la Afrika huku H baba akishihudia jinsi mkewe huyo aliyokuwa anamleta Africa Duniani.

"Huyu ni mtoto wa pili mke wangu anajifungua nashuhudia mwanzo wa uchungu mpaka kujifungua kwake kwa kweli heshima kubwa kwa mama Tanzanite ulijitahidi sana nakupa hongera kwa kweli wewe ni shujaaa na ni mfano wa kuigwa" ulisomeka waraka huo

Waraka huo uliendelea kusema:

"Kuna muda nilikuwa navumilia na kutamani kutoka nje ili nisione unavyojifungua lakini nilijikaza na kuangalia mpaka mwisho wake Asante mungu kwa watoto hawa wawili mungu awajalie wakue vizuri"

Hongera Sana H-baba na Flora Mvungi
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. BIG UP H-BABA NA MKEO KWA KUPATA MWANAFAMILIA MPYA

    ReplyDelete
  2. NYIE NA MKEO NI MASTAA WA KUINGWA HONGERA SANA NA UZIDISHE MAPENZI KWA MKEO SI UMEONA TIMBWILI LAKE!!!!BIG UP NICE COUPLE AND NICE FAMILY. HUYU AFRIKA NI WA KEKI AU WA KIUME!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mdau umeteleza kidogo"KEKI"ukimaanisha"KIKE"au vipi

      Delete
  3. Hongera H bba and your wife,, inapendeza kusikia wasanii wawili ktk nchi yetu have gone so far you are hope other artist have to learn something from you guys,,sio kila siku lile kesho hili,,,vurugu tupu tu ktk jamii,,wish u maisha yenye furaha na familia yako

    ReplyDelete
  4. That is not enough at all, Kumwambia ulijitahidi is nothing, uchungu wa kuzaa hausemeki kabisa. Mssg yako haionyeshi kama ume- feel uchungu wowote. There is a story I know of my friend ambae aliingia leba na mkwe. Alipotoka leba jamaa alishinda akilia siku nzima, na baada ya siku kadhaa alisafiri kwenda kijijini kwa mama yake mzazi akalia sana na kumuomba mama yake msamaha kama kuna siku aliwahi kumkwaza. Na baada ya miaka kadhaa wife alishika ujauzito wa pili cha kushangaza ni kwamba wife hakusikia uchungu sana kama aliposikia mara ya kwanza ila jamaa aliumwa mno hadi wife alipojifungua ndio akapata nafuu. That is the feeling ya uchungu, that is what called love connection. Mume anafili uchungu wa mwanae. Ulitakiwa ku feel uleuchungu ndio uanze kuweka ziwa la mkeo mtandaoni. Na kama ungesikia uchungu basi mssg ulioandika ingekuwa na mguso Fulani hivi mtu anapoisoma ila mssg yako ipo ipo tu kama vile nothing happened. Mtoto wa tatu I wish upate ule uchungu ili ukituandikia mssg tutokwe ma machozi kidogo lakini hii it luks like u were having fun Fulani hivi. Booooooooooooo TO UUU

    ReplyDelete
  5. Hongera,lkn h baba muongo hajakuwepo mkewe anavyojifungua,mke wake kajifungulia Marie stopes tena kwa operation toka anaingia tunamuona kaja na mama ake h baba na tanzanite,anavyosema alimshuhudia mwanzo mwisho ni mwongo na inasemekana alikuwa safari,mkewe kafanyiwa operation ucku na me nilikuwa mmoja wa wagonjwa kanikuta niko pale na me kwa ajili ya kujifungua

    ReplyDelete
  6. Mie mwanaume muongo jamani simpendiii, yani namchukia kwelikweli. Dah huyu jamaa kaniudhi ile mbaya kumbe wala halikuwepo wife wake akijifungua duh, that is so hurt meen.
    Admin embu weka mada to Vote, mwanaume Muongo na Malaya bora yupi, aisee mie muongo Noooooo bora malaya

    ReplyDelete
  7. kazi kweli kweli kumbe kamanda hakuwepo sasa huo waraka!au ameshuhudia kimtandao da hata siamin! an way its good u hv revealed the truth mshkaji alikuwa kashatushka!HATA HVYO HONGERA FLORA MAMA MZAA CHEMA! BE BLESSED A LOT!

    ReplyDelete

Top Post Ad