Mwanaume Kutoka Uganda Alie Wahi Kutoka Kimapenzi na Zari Afunguka, Adai Zari Alichoropoa Mimba zake Mbili

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hasira ya kibuti? Ubuyu kutoka nyumba ya jirani, Kampala nchini Uganda unaeleza kuwa mwanaume Farouk Sempala aliyewahi kuwa mpenzi wa mwandani wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ ameibuka na madai mazito kuwa mwanamama huyo alichoropoa mimba zake zaidi ya mbili.

TUJIUNGE UGANDA
Katika mahojiano maalum na Gazeti la Red Pepper la nchini humo hivi karibuni, Sempala alifunguka kuwa alishtushwa na habari kuwa mwanadada huyo alikutana na Diamond kwenye ndege na kuanza projekti ambayo matokeo yake ni mimba.

MIMBA ZAIDI YA 2
Jamaa huyo alidai kuwa, wakati akiwa kwenye mapenzi na Zari baada ya mwanamama huyo kutengana na mumewe, Ivan Semwanga, alitoa mimba zake zaidi ya mbili hivyo anaamini kuwa hata hiyo ya Diamond anaweza kuichoropoa.Sempala alisema kuwa katika kipindi cha mapenzi yao, walikuwa hawatumii kinga hivyo Zari alikuwa akinasa mimba lakini akawa anachoropoa.

AANIKA SIRI ZA NDANI
“Tulifanya ngono laivu tena mara nyingi tu bila kinga.
“Katika kufanya hivyo nilimpa mimba siyo mara moja wala mbili lakini alikuwa akizichoropoa.
“Kamwe Zari hakunipenda. Alichotaka ni kumuonesha tu Ivan (aliyekuwa mume wa Zari) kwamba alikuwa amepata mwanaume mwenye misuli,” alianika siri zao Sempala katika gazeti hilo.

AMECHUKUA HATUA GANI?
Alipoulizwa juu ya hatua alizochukua au anazotarajia kuzichukua kwa Zari, Sempala alisema hakuna hatua atakayochukua lakini ameamua kusema juu ya uchoropoaji huo wa mimba akiwa na wasiwasi kuwa huenda hata hiyo ya Diamond ataichoropoa hivyo achukue tahadhari.

GUMZO
Habari kutoka kwa chanzo chetu chenye maskani yake Chuo Kikuu cha Kampala (Kiu) nchini Uganda kililitonya Amani kwamba, baada ya habari hiyo kuingia mitaani iligeuka gumzo kubwa huku wengi wakieleza kuwa huenda Sempala ameamua kumchafua Zari kwa sababu mwanamama huyo alimpiga kibuti cha kihistoria.
“Yaani gumzo hapa Kampala ni habari hiyo ambayo imetoka kwa ukubwa kwenye ukurasa wa mbele wa gazeti.
“Unajua huyu Sempala bado kiroho kinamuuma. Kinachoonekana anatapatapa kwa sababu Zari alimpiga kibuti kibaya na cha ghafla kisha akanasa kwa Diamond,” kilisema chanzo hicho.


SEMPALA ACHUKIA UHUSIANO WA ZARI, DIAMOND
Kati ya watu wa mwanzo walioponda uhusiano wa Zari na Diamond ni Sempala ambaye alinukuliwa na vyombo vya habari nchini humo akisema kwamba hapendezwi kabisa na pea ya wawili hao.
Habari zilieleza kwamba Sempala ambaye anasifika kwa dili za mjini, anaonekana kutokuwa katika hali ya kawaida tangu alipopigwa chini na Zari mwaka jana hivyo kuchukuliwa kama anasema chochote kutokana na kuchanganyikiwa.

ZARI YUPO SAUZI
Juhudi za kumpata Zari ambaye ni mama wa watoto watatu akitarajia kupata wa nne, aliyeko nchini Afrika Kusini ’Sauzi’ ili kusikia upande wake juu ya sakata hilo, ziligonga mwamba hivyo zinaendelea.
Diamond alipotafutwa na kunyetishiwa ishu hiyo alisema kuwa hana la kusema na hawezi kushindana na midomo ya watu.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

24 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. KIKO WAPI, SI MNAJITIA KUMSIFIA OOHH MZURI KASHIKA MIMBA YA DOMO MNAYAJUA ALOWAFANYIA WANAUME WENGINE?

    ReplyDelete
  2. kwani tukisema bi kizee malaya mnabisha nn au mpaka wahusika watamke ndo mnaamini. sasa kati ya Wema na Zari nani kahba.. unalo diamond naanza kuamini mtoto akizaliwa domo apime DNA.

    ReplyDelete
  3. NDO MAANA HAISHI KUMTAJA WEMA! KUMBE ALMASI KARUKA MKOJO KAKANYAGA NYAAAA.

    ReplyDelete
  4. Du! diamond nae kaingia pekupeku bila zana, hahaaaa kujua kwingi kuondoa maarifa, weupe umemtoa akili kasahau kazoa zigo la mavi.

    ReplyDelete
  5. diamond alimtangaza Penny katoa mimba nahuyo je? aache kuwasema maa x wake. malipo hapahapa duniani,

    ReplyDelete
  6. Haya ayasemayo huyo ex- basha wa Zari ni kama ile hadithi ya zamani ya Sungura alivyokuwa anajaribu kuzirukia ndizi zilizopo juu kwenye mkungu mpaka akashindwa kuzipata mwishowe akasema"SIZITAKI MBICHI HIZI"

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mkuu we ni GINIAZ balaa!! Wabongo wengi najua wanamponda Diamond Kama huyo jamaa anavyohangaika kumponda zari kwa vyombo vya habari. I MEAN ni viroho na wivu vinavyowasumbua

      Delete
  7. Haya ayasemayo huyo ex- basha wa Zari ni kama ile hadithi ya zamani ya Sungura alivyokuwa anajaribu kuzirukia ndizi zilizopo juu kwenye mkungu mpaka akashindwa kuzipata mwishowe akasema"SIZITAKI MBICHI HIZI"

    ReplyDelete
    Replies
    1. WEWE UMESEMA HANA LOLOTI WIVU TU ROHO INAMUUMA BAADA YA KUPIGWA KIBUTI NA ZARI. ALIKUWA WAPI KUYASEMA HAYO SIKU ZOTE?????????? HAWA HAPENDEZI KUWA NA ZARI. POLE WEWE KAKA!! WIVU WAKO TU HUNA LOLOTE

      Delete
  8. Haya ayasemayo huyo ex- basha wa Zari ni kama ile hadithi ya zamani ya Sungura alivyokuwa anajaribu kuzirukia ndizi zilizopo juu kwenye mkungu mpaka akashindwa kuzipata mwishowe akasema"SIZITAKI MBICHI HIZI"

    ReplyDelete
  9. ulikuwepo wakati wa mapenzi yao au wewe ulikuwa doct wazari unamtoa mimba, x wa zari kasema ukweli na kaumia mimba zake kutolewa na chibu anajiona kapata bonge la demu kumbe.....mwacheni bi sandra augue anamengi kichwani. aibu gani hii

    ReplyDelete
  10. ZARI ZEE FOX. HAKUNA ASOMJUA UN, NDO MAANA KAKIMBILIA TZ KUWABEMBENDA WATOTO. NI JAMVI LA WAGENI.

    ReplyDelete
  11. siyo basha alikuwa ni demu wake na alimtia kila sehemu bila kinga. mwambieni Domo akapime kwanza kabla ya kujisifia.

    ReplyDelete
  12. domo lazima ukapime ngoma maana huyo sari ni Kicheche wa kupindukia na wewe domo umejiingiza kichakicha!
    zari is very bitch even here in uganda everyone know it! carefull domo!

    ReplyDelete
  13. So what kama alitoa mimba si maamuzi yake na dhambi ni zake,wewe hapo juu unaeandika herufi kubwa na ndogo ni mtu mmoja angalie interval za muda wa comments zako,mind your business mfuate wema kama kimekuuma sana

    ReplyDelete
  14. My concern is .. You talk too much in the darkness and when the light comes you shy out . Kutoa mimba nichaguo na dhambi zake , je was that full who went on public to speak of his Ex a real man . He should be ashamed of himself . He should have Gone to the current share holder and advise him if he really cares and is concerned . We screw daily and women abort daily because we men are Dogs

    ReplyDelete
  15. Makubwa haya Diamond uimbe sasa kuhusu Zari uachane na habari za kina Wema na Penny. Ukikaa kwenye nyumba ya vioo usirushe mawe.

    Leo mnamsema huyo Farouk hasira ya kupigwa kibuti na Zari basi na Diamond anayemuongelea Wema kila siku nae ni hasira za kupigwa kibuti na Wema ama sivyo afunge mdomo wake.

    Mwisho msimuue mtoto wa kwanza wa Zari aliemzaa alivyokuwa bado msichana mdogo, kwa sasa mtoto wa Diamond atakuwa ni mtoto wa 5 kwa Zari. Hivi huyu mwanamke anajisikiaje kumficha mtoto wake wa kwanza ambae ni mkubwa ana zaidi ya miaka 18? Haoni kuwa anamuathiri kisaikolojia?

    ReplyDelete
  16. Domo acha kumwimba wema Malaya wakati umeoza kwa Malaya wa UN hapo watu hawakuelewi

    ReplyDelete
  17. Jamani mungu analipa hapa hapa nani ni kicheche now?domo usipige mamba Kabla hujavuka mto kuna Siku utaumbuka kweupe peeee endelea

    ReplyDelete
    Replies
    1. ANALIPA NINI ???? HUYO JAMAA NI MUONGO MKUBWA ROHO INAMUUMA NA MWILI WAKEWOTE KABIGWA BAO NA DIAMOND. DIAMOND USIWAJALI HAO WANA WIVU HAO. MTI WENYE EMBE NDO UTAPIGWA MAWE!!!HIVI UNAWEZA KUPIGA MCHONGOMA MAWE?????????

      Delete
    2. NANI KAKWAMBIA?? MANENO YA MKOSAJI

      Delete
  18. Yaani wewe bado unaandika comments na kujijibu?

    ReplyDelete
  19. wewe sempala ni msenge na misuli yako mwanaume hawi namna hiyo kutoa siri za X wako inakuuma umeshindwa wacha mwenzako atafune kitu gani kinakuuma wacha ushoga

    ReplyDelete
  20. Wow, cool post. I'd like to write like this too - taking time and real hard work to make a great article... but I put things off too much and never seem to get started. Thanks though. Kampala International University

    ReplyDelete

Top Post Ad