Mwigizaji Shamsa Ford, Ney wa Mitego Ndani ya "PENZI ZITO"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya ivi karibuni staa aliyefanya vizuri kwenye movie ya CHAUSIKU, shamsa ford kutangaza rasmi kuachana na aliyekuwa mume wake, kwa kigezo kuwa mwanaume huyo alikuwa akimtesa na kumpiga kwa muda mrefu, uku akimshutumu mwanaume huyo kutoijali familia yake zaidi ya marafiki na starehe, kitu ambacho kimemfanya staa huyo ajiweke pembeni kuepusha msongamano.

Siku chache baada ya staa huyo kutangaza rasmi kuachana na zilipendwa wake huyo anayefahamika kwa jina moja la dickson, ivi sasa staa huyo yupo kwenye mahaba mazito na mwana hip hop maarufu nchini, ney wa mitego, ambapo kwa nyakati tofauti wameonekana wakiwa wote zero distance , uku wakijiachia na mapicha kama ilivyo kawaida ya mastaa watafuta kick.

Kitendo hicho kimewashtua kama sio kuwapandisha presha wapenda ubuyu wa mujini.

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. DUH HII INATWA"JUMPING FROM FRYING PAN TO THE FIRE"POLE SANA CHAUSIKU

    ReplyDelete
  2. Sintokuja kushangaa siku tukiziona picha zako za utupu zimevuja mtandaoni Chausiku shauri huyo mshamba ndiyo zake hizo goodluck Chausiku

    ReplyDelete
  3. Ameruka mkojo kenda kukanyaga mavi

    ReplyDelete
  4. JUMPING FROM FRYING PAN TO THE FIRE

    ReplyDelete
  5. JUMPING FROM FRYING PAN TO THE FIRE

    ReplyDelete
  6. JUMPING FROM FRYING PAN TO THE FIRE

    ReplyDelete
  7. Awe smart kidogo huko kichwani

    ReplyDelete

Top Post Ad