Nape Amtaka Zitto Kujenga Upinzani wa Kweli na Kuachana na Siasa Kama za Chadema

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Salaam,nimesoma kwenye nipashe nape akimtaka kuanzisha upinzani wa ukweli sio kama wa chadema.kwa mujibu wa nape amesema chadema siasa zao zinaligawa taifa.mimi najiuliza ni upinzani gani anaoongelea nape kwa zitto? maana ili taifa lisigawanyike lazima wote tuwe ccm na ni upinzani gani anaomtaka zitto kuanzisha nakuifurahisha ccm?

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Upinzani lazima utakuwepo, sio kwa chadema tu

    ReplyDelete
  2. Upinzani asioupenda Nape mbona unaeleweka na watanzania wote walio wazalendo? Ni huo wa cadema ulio na udini na ukabila ambao mpaka sasa umeligawa taifa kwani chama hicho kinajulikana kama cha maaskofu na wachungaji na wamachame kibao wengine ni maboya tu ili kudanganya wazalendo wa nchi hii. Mbona hata wewe unajua au danganya toto ?

    ReplyDelete
  3. ZZK NI CCM B KWA KAULI HIYO YA NAPE

    ReplyDelete
  4. wewe SIKAPENDI NAKUPENDA ni boya kuuuuu, tanzania hatuna ukabila wala udini hapa, pumbaf!!

    ReplyDelete

Top Post Ad