Nuhu Mziwanda na Shilole ni Sikio Lisilo Sikia Dawa..Wachafua Tena watu kwa Picha Zao Chafu mtandaoni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

LEO kupitia kwenye kwenye mtandao ule maarufu wa picha nchini, msanii Nuhu mziwanda a.k.a mume mtarajiwa wa mwanadada Shilole ameweke picha hiyo hapo juu ambayo imezua utata mkubwa sana kwa wadau wachache walioiona picha hiyo kwenye mtandao, kabla haijafutwa. Wengi wao wamehoji,

 je kuna umuhimu gani wa kutupia mambo mazito kama hayo kwenye mitandao ya kijamii??

 

Picha hiyo ilikuwa na maandishi yanayosema

 

“I’m just hold it tight, my favorite thing on her boy”

 

Kwanza kabisa kingereza kibovu,  pili picha chafuuu machoni kwa watoto wadogo mtandaoni, why? Why? Why?

 

Nini maoni yako mdau juu ya picha kama hizi toka kwa wasanii ambao ndio kioo cha jamii?

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Rubbish.shule nzuri Jamani

    ReplyDelete
  2. Duh!! Poleni sana yani ni ulimbukeni uliopitiliza huo mnaofanya

    ReplyDelete
  3. Wanataka attention zenu na wamezipata

    ReplyDelete
  4. Mfyuuuuuuuu... Sifa za kijinga

    ReplyDelete
  5. mirembe inawahusu

    ReplyDelete
  6. huyooo dogo shule hana ndo maana siku zote anachemsha kingereza,
    pia mziki wenyewe anapaisha hawezi.

    ReplyDelete

Top Post Ad