Picha: HAMISA Mobeto Ajifungua Mtoto wa Kike, MIMBA yake ilikuwa SIRI Kubwa, Azaa na Mtangazaji Maarufu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Modo maarufu na muigizaji chipukizi nchini, hamisa mobeto amejifungua mtoto wa kike. Staa huyo anayechipukia amejifungua ivi karibuni na kuwashangaza wengi kwani mimba hiyo ilikuwa na usiri mkubwa tofauti wafanyavyo mastaa wengine (zari ), Mobeto Amezaa mtangazaji maarufu Majizo ambae ni mkurugenzi wa EFM

Hongera sana, duuh!! Ila hii mimba wambea wengi walikuwa hawajaipata, khaa!! Utatuua kwa presha aisehh loh, haya sasa nawapa assignment wambea wenzangu kumtambua au kumtaja baba mtoto wa hamisa
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ndooo maana alikuwa hasikiki . Itakuwa majizo alimpiga mkwaraaa

    ReplyDelete
  2. NDO INAVYOTAKIWA, SIYO KINA MWANA FULANI MIMBA YA 4. BADO UNAJIFANYA KAMA YA KWANZA, YOOOTE NN, JITU ZIMA OVYOOOOO

    ReplyDelete
  3. hata Domo angekuwa kama mastaa wengine angewastukizia, but tandale na Ajuza akili zao mgando.

    ReplyDelete
  4. Almasi jana anasema et Zari anamiaka 34, ahaaaaaa, Ivana alisema ana 41. sasa nani mkweli, huyu bibi aache kiki jamani.

    ReplyDelete
  5. I like it.Well done Mobeto,mimba si matangazo jamani.

    ReplyDelete
  6. HUYO ZARI NA DOMO SIJUI BAKULI BORA WATULIE WAACHE KUJISHAUA KAMA NDO MWANAMKE WA KWANZA KUSHIKA MIMBA, AWAONE WENZIE MPAKA MTOTO ANAZALIWA NDO WANAONESHA PICHA.

    ReplyDelete
  7. labda bi kizee Zari alimdanya boss, mimba yake kumbe inawa baba 3.

    ReplyDelete
  8. Ongera Hamisa kwa kua mana

    ReplyDelete
  9. Hamisa Mobeto umeua! Hivi ndio tumbo la mimba linavyoonekana sio hilo linaloonyeshwa kila siku limetepeta kama tumbo la beer. Mie mwenyewe nishazaa watoto 3 tumbo langu kama la bibi wa Kiganda lakini sina mimba. Mpaka tuone tumbo lake kama hilo la Hamisa ndio tutaamini kuwa kweli ana mimba.

    ReplyDelete
  10. Ukishajua ana Mumbai iweje hater Mkubwa acha roho ya ushetani?????

    ReplyDelete
  11. Zari siyo wa kwanza inaonyesha gumbo angaliyeni ma celebrity wa ulaya Haya ni mambo ya kawaida sana mtu inaonyesha tumbo after all Ulisema sana jana Mumbai sasa amewaonyesha anasema kipi njema kwenu???????your eyes are to see why don't you wait and see before jugding her or mimba ya wanaume×3 ulikuwepo alivyokuwa wanapenda hiyo mimba ndiyo uanze Kim jugde stop haters????? ??

    ReplyDelete
  12. INAWUMA SANA ZARI KUWA NA MIMBA . KWANZA WAPO WANOAMINI NA WAPO WANAOSEMA HANA MIMBA ANAMWIBIA DOMO LAKINI THROUGH MY EXPLIENCE ZALI ANA MIMBA .HILI JAMBO LIMEMUUMA SANA NA MDOGO WANGU WEMA MAANA ALIFIKILI FIKSI KAMA ZAKE.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wema halali. Alidhani domo atarudi. Safari hii kaaomba joka. KaIndia kutafuta kiki ya kutopata mtoto. Tangu lini TASA anazaa??

      Delete
  13. KWELI ALISHAWAHI KULA BAMIA TU AKIDAI ANAMIMBA NA KUCHAGUA CHAKULA LAKINI LOL. ATULIE WAKATI UKIFIKA NAEATATEMBEA UCHI KABISAAA ULIMWENGU UJUE ANAMIMBA JUST COOL

    ReplyDelete

Top Post Ad