Picha: Ni Kweli Lulu Ana Mimba?! Jionee Mwenywe Hapa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameweka tena picha yake mtandaoni (hiyo hapo juu)akionekana   mjamzito, hii ni mara ya pili baada ya hivi juzi kati kuweka picha  ya mwanamke mjamzito bila kuonyesha sura yake, kitendo ambacho kilionekana kuwa  sio yeye na niuongo kwani siku hiyo ilikuwa ni siki ya wajinga dunia.

Hata hivyo bado watu wengi hawajaamini kuwa mrembo huyo kwasasa ni mjamzito na hata lulu mwenyewe hajaweka wazi kuwa kwasasa ni mama kijacho japo wanasema “kusoma haujui hata kuona picha?”.

Wachache wanaohisi  kuwa  hizi ni picha akiwa anarekodi filamu  kwa hoja kuwa tumbo la mimba huwa halipo hivyo, hawa wanaweza kuwa wanakaribia kwenye ukweli.

Tuendelee kusubiri.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wajinga kweli nyinyi,, kwani akiwa mjamzito ni ajabu? kwani yeye ni nani? na cha ajabu hapo ni nini? wasenge nyie watu wa udaku.

    ReplyDelete
  2. who caresssssssssssssssssssssssssssssssssss?

    ReplyDelete
  3. Pregnant is her business

    ReplyDelete

Top Post Ad