Picha ya Wema Sepetu Akiwa Hospitalini Yashtua wengi..Wengi Wauliza Kama ndo Ameanza Matibabu ya Kupata Mtoto Ama la

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Hii ni Moja Kati ya Picha za Wema Sepetu zinazorushwa mtandaoni toka Jana zikiwa Hazina maelezo ya Kutosha kama ni mgonjwa ama ni Project ya Movie! Picha zinaonyesha Mazingira ya Hospitalini akihudumiwa na Manesi....

Mashabiki wake wengi leo wanauliza Je ndio Matibabu ya Kupata Mtoto yameanza ?
Hii imekuja baada ya habari kuzagaa kuwa Waganga mbali mbali wamejitokeza Kumsaidia ili kutatua tatizo lake la kutopata ujauzito..
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. MMMMMMMMMMMMMMMMMMMhhh

    ReplyDelete
  2. udaku acheni usenge,, hiyo ni movie

    ReplyDelete
  3. Acheni kumsakama Wema jamani mtoto ni mapenzi ya mungu wapo wengi tu hawana watoto kwani hamna kitu kingine cha kuandika zaidi ya wema?

    ReplyDelete
  4. Watu wameisha kuchoka na hizo action zako

    ReplyDelete
  5. Kama anaumwa ugonjwa mwingine je mtasemaje?mbona yeye yupo peace au mmekosa habari ya kuandika?

    ReplyDelete
  6. Wema ziba masikio, songa mbele. Hata kama ndio unatibiwa kupata mtoto INAWAHU! Wengine mnaringa tu na watoto wenu si ajabu MIZINDUNA!

    ReplyDelete

Top Post Ad