Picha:Hichi Ndicho Kinaendelea Ubungo, Polisi Walazimika Kutumia Mabomu Kuwatawanya na Kutuliza Vurugu Zinazofanywa na Abiria

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Habari  zilizotufikia zinaarifu Polisi Jijini Dar es Salaam wamelazimika kutumia mabomu ya machozi katika kituo cha mabasi yaendayo mikoani cha Ubungo kutuliza vurugu zinazofanywa na abiria pamoja na wananchi kufuatia mgomo wa madereva.



TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Serikali yawapasa kutoa ufafanuzi na kutatua kero kwa wananchi

    ReplyDelete
  2. Serikali isitafute majibu rahisi kujibu maswali magumu,kusoma mdereva kutasaidia nini wakati barabara zetu nyingi ni nyembamba na mbovu?

    ReplyDelete

Top Post Ad