Pole Aunty Ezekiel kwa hili. Msamehe bure. Ni elimu tu Hana Huyo na ni Limbukeni wa Mitandao

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kweli mitandao ya kijamii ina kazi. Ukiwa na moyo mwepesi mitandao hii inaweza kuwa sio wazo zuri sana kwako.

Leo kupitia mtandao, mwanadada Aunty Ezekiel amepata na jambo ambalo kwa upande wetu tunaona si la kiungwana hata kidogo baada ya jamaa mmoja kuandika maneno yasio ya kibinadamu hata kidogo kwenye picha moja aliyoiweka mwanadada huyo ambaye ni mjamzito .

Aunty Ezekiel aliweka picha yake akiwa na Wema Sepetu ambaye hapo jana aliamua kufungua juu ya tatizo lake linalomsumbua la kutoweza kushika ujauzito, na baada ya kuweka picha hiyo ndipo alipopatwa na dhahama hiyo baada ya jamaa huyo kuandika kuwa anatamani aunty Ezekiel akijifungua tu afe pamoja na mtoto wake huyo, jambo ambalo si la kibinadamu kabisa kumuombea mtanzania mwenzako

Yani ukijifungua naomba ufe na mimba yako maana utakachozikaa kimelaaniwa” Hayo ndio yalikuwa maneno ya kijana huyo.

Baada ya kauli hiyo Aunty Ezekiel aliamua kuandika haya yafuatayo…

Ukiacha yote ktk Maisha naamini Duniani tunapita na kila mmoja wetu yupo ktk safari ugumu ni kutangulia na Mwenyezi Mungu si wa kwako wala wakwang na ndio mana kila mmoja anatimiziwa haja zake kwa nafasi yake Nataka nikwambie tuu ww kaka uliyeandika maneno hayo kwang leo kuwa ww ni wa Mwenyezi Mungu pia dua lako linawezekana kusikilizwa na likasikilizwa haraka couse wala haupo peke yako ila ww ndie pekee uliepata ujasiri wa kuandika wengine watakuwa wanaomba kwa chini ila wote tumuombae hayo ni huyo huyo mmoja hvyo bac tumuachie yy Inshaalah ndio anajua mwisho wa kila mmoja wetu.Furaha ni ya zamu utakapokuwa unafurahia Umauti wang Familia yang itakuwa ikilia kwa hilo na ifikapo kwako ww unaeniombea hilo kila kukicha ni hvyohvyo pia kwa familia yako.Hvyo nina Aman yakutosha tu kwakuwa mm ni wakwake pia Sikujiumba.WHN JESUS SAY YES NO BD CAN SAY NO....love u all.....

Pole sana Aunty Ezekiel. Tunakuombe ujifungue salama.

Nini maoni yako?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. POLE AUNTY!! MUNGU NI MWEMA UTAJIFUNGUA SALAMA KABISA!!!

    ReplyDelete
  2. ubinadamu kazi sana...wanadamu siku hizi nashindwa hata kuwafananisha na kitu chochote kwa kweli...sikuwahi kuona mtu anamuombea mtu kifo hadharani zaidi tu ya wengine kuomba kimoyo moyo ...pole aunty na wema kwa maneno ya kshfa mnayokutana nayo...inavoonekana mnapendwa sana hasa wema na ndio maana kuna watu wanawachukia wala hawana sababu ya msingi...ILA MWNADAMU KUMBUKA MWENZAKO ANAPOLIA LEO NA WEWE UNACHEKA IPO SIKU UTAJALIA WEWE NA WENGINE WATAKUCHEKA NI HERI UKALIA NA WANAOLIA NA PIA UKACHEKA NA WANAOCHEKA .

    ReplyDelete
  3. eee jmn hivi kabisa unawish mwenzio afe jmn hw cruel...ungepata nafasi wewe siungemuua wewe..ebu tukumbuke USIHUKUMU USIJE UKAHUKUMIWA..pole aunty ila ujue Mungu ndio alipenda wewe ubebe na uzae huyo mtoto na mipango yake sio ya binadamu so utajifungua salama tena bila complication na mtoto mwenye afya tele maan anatoka kwa Mungu. Kumbuka adui yako muombee. Good luck

    ReplyDelete
  4. Usiwaogope kina herode waleo ambao zamani walitamani kumuua Yesu Na yule farao kwa Musa hata hivyo walishindwa kwa ulinzi wa Mungu.,shetani yupo kazini ili kuuwa wabeba maono na taarifa za Mungu kwa watu atatumia kila njia ili kuharibu Leo kainuka wazi mwilini kabisa ili kukutia UOGA,usiogope usiogope kuwa jasiri na moyo wa ushujaa vya si yako ni ta Bwana walitamani wakule nyama cku nyingi ktk roho wameshindwa wanakuja mwilini kukutia uoga.,shetani yupo na anamtumia mtu kukamilisha kazi yake so pigana na shetani sio mtu atakuumiza.,PIGA KIMYA...nikutoe wasi misijawahi kukuwazia kitu km hicho,nawaza kumuona mtoto wako atafananaje.,na mama au babu yake Jujuman hahahaha bingo muvi au bongo soka.....,

    ReplyDelete
  5. Bina adamu mmefikiya hivo kuonbeyana vigo muogopeni mungu

    ReplyDelete
  6. utajifungua vizur tu mungu yu pamoja nawe be blessed aunt lov u

    ReplyDelete
  7. hivi wewe unayemuwishi mwenzio kifo kakukosea nini???????? dunia imeharibika sijawahi kusikia mtu anamuombea mwenzie kifo hadhaani namna hii. AUNTY MUNGU NI MWEMA UTAJIFUNGUA SALAMA SALIMINI NA MTOTO MZURI KAMA WEWE!!!! HILA ZA SHETANI ZISHINDWEEE KWA JINA LA YESU KRISTO WA NAZARETH ALIYE HAI. AMEEN.

    ReplyDelete
  8. Usiangalie watu wanasema nini angalia Mungu anataka nini kwako. mimi sikujui na sijui undani wako ila nakujua kupitia magazeti. Sisi sote ni wakosaji hakuna aliyemwema hata mmoja. Uzuri wa Mungu wetu ni Mungu mwenye reheme, neema na msamaha tele. Wewe ni mke wa mtu sijui ni kwanini ukaamua kuzaa nje ya ndoa yako lakini sikuhukumu isipokuwa nakusihi na kukushauri hivi, usihangaike na kuweka amani na wanadamu angaika na kuweka amani na Mungu na mengine yote utapewa interms of what yeye atakusafisha na yeye ndiye atakuwekea amani na watu.Halafu najua unapenda sana mitandao, wakati mwingine achana nayo ili ujiepushe na mengi si kwamba utaonekana mshamba hapana bali utapata amani maana hakuna atakayejua mambo yako especially yale ya binafsi ambayo si kila mtu lazima ajue. Nenda na hili maneno huumba lakini ukiyakataa hayata. Halafu biblia inasema wewe ni uzao wa Ibrahimu nitawabariki wale wanaokubariki na nitawalaani wale wanaokulaani. Declare Gods word.

    ReplyDelete
  9. Usiangalie watu wanasema nini angalia Mungu anataka nini kwako. mimi sikujui na sijui undani wako ila nakujua kupitia magazeti. Sisi sote ni wakosaji hakuna aliyemwema hata mmoja. Uzuri wa Mungu wetu ni Mungu mwenye reheme, neema na msamaha tele. Wewe ni mke wa mtu sijui ni kwanini ukaamua kuzaa nje ya ndoa yako lakini sikuhukumu isipokuwa nakusihi na kukushauri hivi, usihangaike na kuweka amani na wanadamu angaika na kuweka amani na Mungu na mengine yote utapewa interms of what yeye atakusafisha na yeye ndiye atakuwekea amani na watu.Halafu najua unapenda sana mitandao, wakati mwingine achana nayo ili ujiepushe na mengi si kwamba utaonekana mshamba hapana bali utapata amani maana hakuna atakayejua mambo yako especially yale ya binafsi ambayo si kila mtu lazima ajue. Nenda na hili maneno huumba lakini ukiyakataa hayata. Halafu biblia inasema wewe ni uzao wa Ibrahimu nitawabariki wale wanaokubariki na nitawalaani wale wanaokulaani. Declare Gods word.

    ReplyDelete
  10. ukweli aunty katika mastaa waliokomaa kwa busara na ustahimilivu your the best! MWNGNE ANGEMWAGA MATUSI MAZITO YASIO KIFANI BUT U HV CHOOSED TO BECOME NEUTRAL! KIFUPI ATAKUFA YEYE NA LAANA ZAKE'''MUNGU NA ATAKUPIGANIA NA UTJIFUNGUA SALAMA USALIMINI% USJISUMBUE NA WAJNGA WANAOTFUTA KK IQ zao ndogo!

    ReplyDelete

Top Post Ad