Reginald Mengi amefunga ndoa na Jacqueline Ntuyabaliwe, picha 9 ziko hapa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mtandao wa Bongo5.com umepata nafasi ya kupokea pichaz Exclusive kutoka kwenye harusi hii ambayo imefungwa kwenye ardhi ya nchi ya Mauritius kwenye mwisho wa mwezi March 2015.

Hii ndoa pia ilishuhudiwa na watoto wao wawili mapacha kama wanavyoonekana kwenye picha pamoja na marafiki wengine wa familia pamoja na ndugu ambao idadi yao inafikia 50.

Ndoa imefungwa miezi minne baada ya Reginald Mengi kumchumbia Jacky Dubai kwenye siku ya kuzaliwa ya mrembo huyu December 2014.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hivi huyu mzee si ana watoto wakubwa kuliko huyo mrembo na mkewe yupo?mbona hiyo ndoa haina watu?au magumashi?

    ReplyDelete
  2. ha ha ha ha ha ha ha dunia haiishi vituko

    ReplyDelete
  3. Babu na mjukuu wake,hizi pesa zitatuua

    ReplyDelete
  4. si ndio ataanza ktombewa kama hatombewi sasa

    ReplyDelete
  5. Huyu dingi anakuja kujidhalilisha uzeeni tu,kwani alivyozaa nae angepiga kimya tu ingekuwaje?huyu demu lazima kamlazimisha huyu dingi,heshima aliyonayo kwenye jamii sio wa kupelekeshwa hivi
    ,

    ReplyDelete

Top Post Ad