AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Akizungumza na mtandao huu juzi,Shamsa alisema, kinachoendelea kwa sasa kwenye mitandao ya kijamii ni Promosheni kwa ajili ya ujio wa filamu hiyo waliyoshirikiana,iliyopangwa kutoka mwanzoni mwa mwezi Mei mwaka huu.
"Hatuna uhusiano wa namna hiyo zaidi ya uhusiano wa kikazi, kwani tumeshirikiana kuandaa filamu yetu itakayofahamika kwa jina la Manyaunyau na tupo katika hatua za mwisho kabisa na mashabiki wakiiona ndo wataamini nini kilikuwa kinaendelea kati yetu," alisema.
Alisema jina la filamu hiyo limetolewa na Nay mwenyewe kutokana na aina ya filamu yenyewe ambayo inalenga familia 7 zinazoishi katika mvurugano,zikiwa kwenye maisha ya hali ya kati.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK