Shamsa: Sijutii Kuachana na Mume Wangu, Nimepitia Mateso Mengi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Shamsa Ford amesema kamwe hatajutia kitendo cha kuachana na  mumewe, Dickson.

Akiongea na gazeti la Amani Shamsa alisema kuwa kipindi chote  wakati yupo kwenye uhusiano na mumewe huyo waliefunga naye ndo ya kimilia alikuwa akiteseka  na kupata shuruba nyingi japo hakuwa tayari kuziweka hadharani.

“Sijutii kuachana na mume wangu, nimepitia mateso mengi, sikotayari kurudi japokuwa nina motto naye” Shamsa alisema.

Kwa sasa inadaiwa Shamsa anatoka na Staa wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego ambaye  naye aliachana na mchumba wake ,Siwema hivi karubuni.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. YANGA NA SIMBA HIYO

    ReplyDelete
  2. Linapenda kukaa uchi sana limwili lenyewe mipaja inamtetemeka hata halijitambui.

    ReplyDelete
  3. Huyo dada mi huwa simuelewi sura yake sikui msichana au mama, halafu mwili wake hauna mashiko sijui haijioni, unakaa uchi mwili umelegea una madoa mputuuuuu

    ReplyDelete
  4. Unadai umepitia mateso mengi wakati umri wako kwa ku guess upo katika middle 30ths sasa yule mama alikuwa na umri sawa na mama yako na ambaye bado yupo ndani ya ndoa na mume wake huyo huyo aliyemuoa many years ago na yeye asemaje kuhusu hilo?

    ReplyDelete
  5. hahaha kumbe alikuwa mme wa mtu?

    ReplyDelete
  6. NDO MADHARA YA KUACHANA LAZIMA USEME NA AMBAYO HAYAKUWEPO ILI UONEKANE UMEFANYA LA MAANA KUMBUKA WANAUME NI WALEWALE UTAISHIA KUJUTA

    ReplyDelete

Top Post Ad