Show ya Diamond na Zari Mlimani City Kufuru Tupu.. Kiingilio Million Tatu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ile show inayosubiriwa kwa na kuongelewa kila kona ya jiji la Dar es Salaam ya Diamond na Zari pale Mlimani city siku ya May mosi kiingilio cha juu ni shiling million 3 za kitanzania na cha chini ni elfu 50.

Msanii huyo billionea anayetoa bima ya afya kwa wakazi mia mbili wa Tandale kutibiwa bure ametaja leo viingilio hivyo.

And here are the Official Entrance fee for Zari All white Party 1st of May 2015, Mlimani City...
50,000/= 100,000/= VIP

1,000,000/= VIP Table plus 4 tickets & Drinks Coupon....

3,000,000/= VVIP Table plus 8 tickets & One Million Drinks Coupon... ( for the VIP & VVIP Table booking Call +255755700400 )......

( Hizi ndio Bei Maalum za Viingilio katika White Party tareh 01 |05 |2015
50,000/=
100,000/= VIP
1,000,000/= Meza ya VIP sambamba na Tiketi Nne na Vinywaji vya Bure
3,000,000/=VVIP sambamba na Ticket 8 na Vinywaji vya Bure vya Milioni Moja...) kwa maelezo na Kuwai Meza piga +255755700400 #KIMENUKA
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

55 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Yeah mambo ya fedha kwa watu kama sisi, mtu kama huwezi kulipa utakaa pembeni

    ReplyDelete
  2. ANATAKA ASIFIRISIKE MAANA ATACHEKWA NA MASHAUO MEENGI. BIMA KAWAKATIA WA TANDALE NA DAWA JE? MAANA DAWA NDIO GHALI, AU ILIMEADI AONEKANE JUU KAMA RAIS.

    ReplyDelete
    Replies
    1. ACHA USHAMBA BIMA YA AFYA SINDIO WANAPATA MATIBABU BURE NA DAWA!!!

      Delete
    2. WW BOYA SANA HATA HUELEWI NN BIMA YA AFYA . AIBU KWELI

      Delete
    3. WEWE NDO BOYA UNAJUA KWANZA NINI MAANA YA BIMA YA AFYA???????? AIBU YAKO

      Delete
    4. We ndio kilaza kweli.aibu yako.hujui bima ya afya ndi fedha ya kununulia dawa VIP??!! Unashangaza umma.boga Tena boga lililooza. Huna point kaa pembeni.sio lazima uongee.nyau we.

      Delete
  3. hongera zake, wataenda wanaomsaport kuwa na bi kizee 41+

    ReplyDelete
    Replies
    1. WIVU WAKO ZARI ANA 35YRS. SEMA HUNA HELA!! HATA

      Delete
    2. SHE IS 41+.. NGAPI UMELIPWA?

      Delete
    3. THIBITISHA KAMA NI 41+ UMELIPWA NGAPI?

      Delete
  4. milion tatu? kwakuwa yeye ni ghali sana au anamsafisha Zari auonekane hajamaliza ug. nzima

    ReplyDelete
    Replies
    1. KWAKO NYINGI HIYO NI HELA YA NYANYA TU !!!

      Delete
  5. sina hata habari ya kufikiria kwenda. magazeti si yapo tutasoma daily kiki zao.

    ReplyDelete
  6. niache kutafuta chakula cha wanangu nikatoe pesa zoote kwenda kumuona zee zima lisojitambua, dai anatoa bima na anatka kurudisha kwa kiingilo. hana aibu

    ReplyDelete
    Replies
    1. hujalazimishwa kwenda huna hela. ndio matumizi ya hela kwa wenye nazo. upo juu diamond unajua kutafuta hela

      Delete
  7. SI BORA NIENDE KWENYE TAARABU NITA ENJOY ZAIDI KULIKO KUONA VITUKO VYA WAZEE WANA ACT KAMA WATOTO.

    ReplyDelete
    Replies
    1. WANA UZEE GANI WANAO?? SEMA HUNA HELA

      Delete
  8. Lemutuz au Lekunukfaz na Sinta nyampua watapewa ticket ya promo than watatanga wameingia kwa milion 3. ili mradi waonekane wanazo kumbe..... ndo wale wale wenzangu na mie hahahaaaa.

    ReplyDelete
  9. He! kazi ipo yoote wapate pesa ya kumalizia nyumba wanayo itanganza kumbe wameishiwa lol

    ReplyDelete
    Replies
    1. MTOTO ANAJUA KUTAFUTA HELA HALAFU AKIPATA MAHELA HAYO AAAA FREEMASON KUMBE UBUNIFU WA KUTAFUTA PESA BIG UP DIAMOND. ETI KAISHIWA MWENZENU ANATAFUTA PESA!!!

      Delete
  10. Dai hajamaliza nyumba na vile vitu vya mtoto havijanunuliwa kaona awalipize kiingilio kikubwa. wajinga ndo waliwao

    ReplyDelete
    Replies
    1. wee kalia hayo mwenzio anaingiza mipesa nimependa ubunifu wa hali ya juu!! hongera domo

      Delete
    2. wee kuma tu ,unamtetea Daimond,,, kiasi gani utalipwa?

      Delete
    3. WEE JAZA MATUSI MWENZIO ANAINGIZA HELA!!! HONGERA SANA DIAMOND.

      Delete
    4. wee 6:32pm mama yako ana nini?

      Delete
    5. Mmekutana vilaza nothing crucial to be discussed

      Delete
  11. anataka pesa za kumalizia nyumba yake huyooo. Hana jipya na Ajuza wake. tumemshtukiaaaaaa

    ReplyDelete
    Replies
    1. ha ha ha pole wewe utakalia hayo mwenzio anaingiza pesa!!!

      Delete
  12. upuuzi mtupu, wenye kupenda kiki wataenda.

    ReplyDelete
    Replies
    1. sio upuuzi wenye pesa zao ndio matumizi yenyewe hayo kama huna kaa kwako!!!

      Delete
  13. Ebhana ee! M.3?? Hiyo sho itakuwaje..ngoja tu niulize swali la kistaarabu, nauliza hiviii hiyo sho anaenda kum#&@$# live huyo zari au????

    ReplyDelete
    Replies
    1. utajiju !!! mwenzio yupo kazini anatafuta pesa !!!!

      Delete
  14. Kwa lipi hasa dai? Usitake kuchekesha watu,falei ipupa mwenyewe hajawahi kufanya kiingulio kama hicho.hapo hakuna show ila kuna kuonyeshana tu mashauzi ya pesa.ss tutaendelea kwenda kwa yamoto band na wengineo maana ndipo kwenye burudani.

    ReplyDelete
    Replies
    1. ndio wewe si ndio level yako ya moto band!!! waachie wenye pesa zao waende mbona hizo ni za vitunguu tu!!!

      Delete
    2. @12:53...WEWE DIAMOND ANAKUF**LAGA NINI? AMA NI MMOJA WA WALE WANAOSHUHUDIA AKIMT*MBA ZALI ILI MKAADISIE MITAANI?

      Delete
    3. UTAJIJU KAMA MATUSI PESA TAJIRIKA KAMA DIAMOND BASI!!!UTAKALIA MATUSI TU MWENZIO ANAINGIZA MIHELA.

      Delete
  15. utakalia hayo pesa inaingia kwa diamond!!!

    ReplyDelete
  16. Huyu mama anafikiri watanzania wajinga kila anachosema tutakubali, mara kitanga chake kanunua USD Millioni moja sasa amekuja na kiingilio cha Million 3 nani ataingia kama si njama ya kujipatia umaarufu na kuwafanya watanzania wajinga. Akaweke kiingilio hicho kwao Uganda au South Afrika hatothubutu hata kutangaza kitu kama hicho na masikini Daimond anakaa pembeni kama bendera inayofuata upepo.

    ReplyDelete
    Replies
    1. ubunifu wake watanzania tuko waoga sana. diamond kathubutu watu matusi tele ya nini?? mpe sapoti kwa kiasi cha uwezo wako. kama basi usidhani na wenzio hawana. hizo ni pesa za vitunguu tu ndugu yangu.

      Delete
    2. hiyo sio hela yavitunguu,kuna watanzania wanalala njaa jamani.

      Delete
  17. hahahah dah Ngoja nicheke kwanza..
    u knw siku ikipita nisipoingia kwa hii blog huwa naona kama siku haijakamilika... bt pia nimejifunza kwamba kuna watu ubungo wao ni kama tikiti maji...hv unaanzaje kumchukuia mtu from no where..yaan kuna watu ukisoma comment zao unaona kabsa they are full of heatred..duhh...wema akiandikwa in a -ve way, otasikia oohh admn kibaraka wa zari, akiandikwa in a good way still wapo wanaoponda..the same to zari...do some pple get paid for all this drama?? by the way,,waswahili husema kelele za mmbu nje ya net hazimzuu mtu kulala...hawa watu wanatengeza hela out there na kuongeza account zao...and nyie endeleeni kutengeneza majunga na kuongeza chuki miyoyoni mwenu..

    ReplyDelete
    Replies
    1. wewe umesema watu wanatengeneza hela wao wanakalia kutoa matusi tu humu ndani miye hawa ndo huwa nawashangaa sana.matusi yao utadhani wao hawana wazazi!! Jamani tuache kutukana sio vizuri. diamond kaza buti usiogope kabisa haya maneno yasikuzuie wewe kunywa maji big up

      Delete
  18. Mimi sioni ajabu kwa sababu kiingilio cha mayweather na pacquao kinaanzia milion 7 mtu moja sasa milion tatu meza ya watu nane au kumi sio tatizo ni vile tu wabongo hatuna ubunifu wa kujikomboa na umaskini mwachieni dogo anaejua kutafuta hela

    ReplyDelete
    Replies
    1. AISEE NIMEIPENDA SANA COMMET YAKO MAANA ULICHOONGEA NI KWELI KABISA. JAMAA KAFANYA UBUNIFU WA HALI YA JUU SANA. NDIO TUNATAKIWA TUWE HIVYO TUTHUBUTU JAMANI. HONGERA DIAMOND NA ZARI

      Delete
    2. UMEONAEE TATIZO WENGI WETU TUNA WAZO LAKINI ATUTHUBU TUNAISHIA NJIANI, BIG UP DIAMOND KWA ATAEWEZA ATAENDA ASIEWEZA ALALE HAMNA HAJA YA KUMKOSOA

      Delete
  19. Mhhh yetu sie macho, jamaa kaharibu kutengeneza makundi makundi kibao kutokana na jeuri, nyodo na bifu na mashauzi ya kijinga. Kuna timu Zari, team Dangote, Team Wema, Team Kiba bado ambao wako pembeni hawana team zozote lakini kila kukicha wanaangalia drama mpya.

    Diamond Zari kwao alifanya White Party kwa kiingilio cha 30,000 UG shs na sex tape akatoa juu, watu wakajazana na kiingilio kwa sababu kilikuwa affordable. Hivi kilichomfanya huku Bongo aweke kiingilio cha ajabu ajabu kiasi hicho ni nini? Hujui kuwa hawa wengi wanaotukanana humu sana sana ni vijana wa chuo na wengine wasio na kazi sasa hamuoni kuwa mnawatenga?

    Hata kama unamuiga Chameleon aliyeweka kiingilio cha 1m mwenzio alifanya party yake kama Charity event kuchangia huko kwao yaani kulikuwa na cause, mtu anatoa pesa zote hizo anajua anachangia kitu fulani. Sasa nyie party tu ya kawaida mnaenda kuweka mabei yote hayo bila hata mtu kujua anachangia nini mnafikiri watu hawataacha kuwasema? Au huku ndio mnajifanya matawi ya juu au mnajidanganya kuwa watu watatoa hizo 3m kuingia kwenye party yenu kwanini msifanye kiingilio cha kawaida tu kama watu wengine?

    Hii kali kwa kweli mnataka kujifanya ni Hollywood party ya watoto wa kishua sio? Labda kipindi kile Zari anakuja huku Bongo hajawa na Diamond watu wangeweza kutoa hizo pesa kwenda kumuona Bosslady lakini sio sasa hivi watu kibao washamjua kuwa ni Bosslady wa kawaida tu hana hadhi ya kulipiwa pesa zote hizo. Ni ukweli mchungu lakini lazima usemwe Zari umeshuka sana ulivyokuja kuwa na huyu Diamond.

    ReplyDelete
    Replies
    1. MEI MOSI ITAKUJIBU!!!

      Delete
    2. Du mihandishi yote hiyo au umelipwa uandike hivyo

      Delete
  20. jamani kiingilio ni kuanzia 50,000, hiyo 3M ni kiwango cha juu.

    ReplyDelete
  21. Ninyi wabongo wenzangu tumieni Bongo zenu vizuri yaani mchanganuo umewekwa wazi kwamba ktk M3 kumbuka kutakuwa Na meza yenye VT 8 ukipga hesabu kwakuigawa hiyo M3 kwa watu8 jumla utapata 375000- hivi kwa watu nane so kuna watanzania wangap waishindwe hiyo pesa huku kuponi za vnywaji ile ki VVIP. Funguka... Efatha

    ReplyDelete
  22. aisee kweli wabongo wengi hamna akili nimeamini...hivi nyie mnafatilia muziki au mnaropoka tu?
    Jose Camilion alifanya shoo uganda inaita One Josee,One show,One Million ...mbona hakusemwa anawatenga wanafunzi na wasio na kazi?..hao wanafunzi na wasio na kazi wajisomee sio kila shoo lazima waingie ila wajitahidi kuingia kila kipindi darasani ndo jambo la maan na siku nyingine wataona shoo ya pesa ndogo ya kiwango chao.

    ReplyDelete
  23. Kajambe na wewe gazeti refu alafu halieleweki pyee pyee hovyo kama unayo ela nenda sio utulete njaa hapa

    ReplyDelete
  24. JAMANI KUNA WATU WANA HELA ZAO HAWATAKI BUGUZA ZA WALALA HOI WANAOTOA 50,000 NDIO MAANA WAMETENGEWA SEHEMU YAO YA MILLION 3 SHIDA IKO WAPI??? MIYE SIONI TATIZO KAMA HUNA HELA NI WEWE USIWASEMEE WENZIO. KAMA MILLION KUMI INAWEZA KUWA YA MBOGA SASA MILIONI 3 SI NI ZA NYANYA TU?? MBONA KAWAIDA SANA. WATU WANA HELA !!!!! DIAMOND HONGERA KWA UBUNIFU MZURI SANA!! WAACHE WASEMA WEWE UNAINGIZA MKWANJA

    ReplyDelete
  25. MWACHENI MOND NANYI KOMAENI

    ReplyDelete

Top Post Ad