Siri Yafichuka Kumbe Wasanii Wengi wa Bongo Hawampendi Wame Sepetu..Wanakesha Kwa Waganga Kummaliza

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hii Siri Imetoka Kwa Page ya Instagram ya Mrekebishatabia....Jisomee Hapo chini Siri nzima:

"Naomba nimalizie khs Wema ntaifuta post hii....Nimejaribu kupitia maoni yoote na sijaona mtu amethubutu kusema kosa la Wema ni nini na why anatukanwa so watu wanamuonea wivu bure...achana na masuala ya msiban...amekwenda na katoa mchango wake.... Sasa naomba niweke wazi hili suala nyeti sikutaka kuweka hapa ila imenibidi ili ujumbe huu umfikie @wemasepetu na wanaomuwazia mema kumuombea... niwieni radhi nadhan mtanielewa @ssepetu @nsepetu @ssepetu ! 

Kutoka chanzo cha ndani kabisa...habari za uhakika!!! Wasanii wengi hawampendi Wema!! Wanajaribu kila njia kummaliza kisanii au hata kila atakachokifanya asifanikiwe na kujaribu kufifisha nyota yake, na asilimia kubwa za account feki zinazomtusi Wema ni wasanii au watu wa karibu wenye chuki na yeye!! Ili kumpoteza ndo maana mambo mengi yanaenda then yanakwama au saa nyingine Wema hajitambui na maisha anayoishi si yeye, wakati mwingine kama yupo yupo tu... anapambana sana..ingebidi afike mbali zaidi ya hapo au zaidi ya msanii mwingine unayemjua!!!.... anajitahidi kusogea japo ana vita kubwa sana yawezekana hajui.... 

kwa sasa anaanza kurudi lakini bado watu wanakesha kwa waganga kummaliza!! Tatizo la Wema ni kwamba anamuamini kila mtu...na ni rahisi mtu kufanya kitu chochote kwake, @wemasepetu watu ni wabaya sana mtu anaweza kukuwekea hata sumu kwenye kinywaji hatuombi iwe hivyo ila si unaona mwenyewe unavyochukiwa bila sababu?????.. kuwa karibu na ndugu zako tuu tafadhali!!! Na mpango uliopo ni kumchonganisha na dada zake ili wasipatane na asiwasikilize...japo wanafeli naamini hata Wema anapiga sala.. kikubwa sana ni maombi ndo yatamsaidia. Tatizo ni NYOTA yake.... mambo mengi ambayo amefanya ambayo hatukutegemea hakuwa yeye alifanyiziwa!! Sometimes I wish ngempeleka kwa pastor wangu aombewe.... "NYOTA" ya Wema inasakwa na Mungu amsaidie ndoto zake zisikatishwe. Amen"
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Na washindwe walegee wanga wote

    ReplyDelete
  2. Wewe umejuaje kama sio mwanga mwenyewe. Tatizo la watanzania tuko nyuma sana kuendekeza ushabiki mavi wa kuchonganisha watu. Yeye mwenyewe asijue wewe ndo ujifanye kinara wa utabiri. Wema kitu gani, kwa ustaa gani alo nao. Huo ustaa wa kibongo wa kumanua miguu ili uishi. Bongo hakuna masta ni malaya na mashoga tu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. wewe ulishamanua na kudidimiziwa mara gapi na hauna hata jina mjini si bora yeye anamanua kwa faid hata baba yako kama anazo mukuwadie mjiga wewe

      Delete
  3. vitu vya waganga havidumu ipo siku Mungu atawaadhibu wote wanaomchukia bila hata sababu

    ReplyDelete
  4. Kumbe hata na wewe ze Udaku uko kwenye list au ulirogwa? Kwa sababu yote mazuri aliyoyafanya mwaka huu hujapost hata moja, kutwa kupost habari za chuki tu juu yake na udaku wa Dai na Zari. Ushindwe na Ulegee

    ReplyDelete
  5. Anony 1.19 HATA WEWE NIMALAYA BORA HUYO WEMA KULIKO WEWE UNAE ACHIA MIGUU MPAKA KWA WAENDESHA MIKOKOTENI. AFRIT MKUBWA.

    ReplyDelete
  6. TUNAZISOMA TU HABARI, LAKINI UDAKU HAWANA MPANGO NI WACHAWI TOSHA

    ReplyDelete
  7. MUNGU NI MWEMA ATAMSAIDIA

    ReplyDelete
  8. kama udaku ni wachawi unaloga nao ww acha ujiga unaingia kufuata nini humu si uende blg ni nyingi bila udaku bong hapanogi kama hudaki timuka

    ReplyDelete

Top Post Ad