SIWEMA Ajibu Mapigo Amuonyesha Serengeti Boy aliyefumaniwa Naye..Ni Baada ya Nay wa Mitego Kuanza Kuishi na Shamsa Ford

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ni kama Vile Kujibu Mapigo..Mrembo Siwema ambaye alikuwa Mpenzi wa Nay wa Mitego na kumzalia mtoto mmoja na kisha kupigana chini kwa tuhuma za kumfumania laivu akiwa na Kiserengeti Boy ameanza kumuweka wazi katika mitandao kijana ambae ni mpenzi wake kwa sasa..

Inasemekana mapenzi na Kijana huyo hayakuanza jana wala leo ili yapo muda mrefu ila walikuw wakifanya kwa siri mpaka siku Nay wa mitego alipofumania mchezo na kuamua kuchukua mtoto wake na Kusema...

Kijana huyu ambae anaonekana ni mdogo watu wengi wa huko mwanza wamempa jina la kiserengeti boy..Kwa sasa anaonekana kila kona akiongozana na Siwema bila kificho kama zamani..
Siwema Akiwa na Serengeti Boy na Rafiki yao

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. this is very embarrassing kwakweli...kwahiyo Ney yaliyomo hayamo au??

    ReplyDelete
  2. Kibwana chenyewe kimekomaaa uso

    ReplyDelete
  3. Mie ndo nazidi kushangaa, hiki kitoto kichimba madini kidogo badala kihangaike na kuinua family yake kwa hizo pesa alizohangaika kwa muda mwingi kuzipata, maskini kimekuja kujipwelepweta chenyewe kwenye dumu la petroli bila kujua, mmmmmmh maisha haya yana mazingaombwe, hapo kinajisifu kuwa kumemnyang'anya Ney demu kumbe kinajiua chenyewe taratiiiiibu sijui hakijui kama ana dumu ya petrol huyo iko siku kitajutia sana.

    ReplyDelete

Top Post Ad