STEVE Ajutia Maamuzi Yake ya Kuhamia Kuishabikia AZAM Kutoka YANGA, Asema Maisha Yake Yamekuwa Mabovu..Abembeleza Kazi Azam

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Aliyekuwa mshabiki maarufu wa Team ya Yanga Steve Amefunguka na kusema kitendo chake cha kuhamia kuwa mshabiki wa Azam kutoka Yanga kimefanya maisha yake yawe Mabovu kimaslahi na umaarufu kupungua sana

Amesema japo bado anaitamani Yanga lakini hawezi kurudi tena kuishabikia Yanga kwa kutoonekana Msaliti ...Hivyo anachofanya kwa sasa ni kumuomba Bosi wa Azam Ampe kazi ya Kuajiriwa katika Team hiyo kama Mshabiki wa Damu ..


Steve alipata umaarufu mkubwa baada ya Yanga kufungwa Tano na Simba miaka kadhaa iliyopita ambapo Steve alirekodiwa na Vituo mbali mbali vya TV akimwaga Kilio cha nguvu


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hizo zinaitwa tamaa za mzee fisi kupenda mifupa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kweli kabisa,mtu kama ni mdau wa timu fulani sio rahisi kupenda timu nyingine,halafu eti ghafla unahamia,ni tamaa na njaa,alijua atapata utajiri akiwa azam.
      Baki hukohuko yanga hatukutaki tena.

      Delete

Top Post Ad