Big Boss ni Mwanamuziki wa Miondoko ya Kufoka foka ambae yupo ndani ya Tamaduni Music ..Ameanzisha Studio yake inayoitwa MOTO Records..Bongo FUSE TV Tumewatembea Studio na kukuta wasanii Kibao akiwemo Nick Mbishi na Producer Duke ambao Wote tumefanya nao mahojiano na kutupa Freestyle za nguvu