Tetesi:Mgogoro ACT-Wazalendo: Mwenyekiti Taifa Atishia Kuachia Ngazi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

By G Sam -JF
Mgogoro wa kimajukumu umeanza kuibuka ndani ya chama kipya cha ACT-Wazalendo ambapo mwenyekiti wa taifa wa chama hicho bi Anastazia Mghwira jana alitishia kuachia ngazi.

Habari zilizopatikana kutoka ndani ya chama hicho zinadai kuwa kiongozi mkuu wa chama Kabwe @ Zitto alimuonya mwenyekiti huyo kuwa anaingilia majukumu ya kukieneza chama ambayo kimsingi si yake.

Kwa mujibu wa katiba ya ACT-Wazalendo, kazi ya kukieneza chama ni ya kiongozi mkuu ambapo mwenyekiti kazi yake ni kuongoza vikao vya chama na kusimamia maadili ya wanachama.

Kufuatia mgogoro huo mwenyekiti huyo alitishia kujiondoa ndani ya uongozi wa chama hicho kutokana na mkanganyiko wa kimajukumu kati ya mwenyekiti na kiongozi mkuu.


My take!
Muda si mrefu Zitto atajihalalishia uenyekiti wake ndani ya ACT ambao umo chini ya kivuli cha Anastazia Mghwira na kuitimiza rasmi azma yake ya muda mrefu!

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. zito ndio kaburi lake hilo

    ReplyDelete
  2. Duhhhhhhhhhhhh

    ReplyDelete
  3. heri ungerudi ccm zitto

    ReplyDelete
  4. zito awe makini siasa zaTZ ni kutafutana tatizo hata kama ni mtetezi wa watanzania m/kiti wake ni chama kilekile sasa akieneza chama tatizo ni nini ZITO PUNGUZA NJAA WEWE HUFAI HATA KUWA RAISI MAANA MAAMZI YA TAIFA UTASHIKILIA MIKONONI MWAKO

    ReplyDelete

Top Post Ad