google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Tukiwaendekeza CHADEMA: Bunge Zima Litajaa Wasanii wa Bongo Fleva & Movie! | UDAKU SPECIAL

Tukiwaendekeza CHADEMA: Bunge Zima Litajaa Wasanii wa Bongo Fleva & Movie!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hii tabia ya CHADEMA kutumia wasanii wa bongo fleva & movie kisiasa ni upunguani wa hali ya juu sana.

Iweje leo hii kisa tu chama kinataka ruzuku ya kutosha kione ni vyema na sawa kuokota tu vijana wasio kuwa na maadili kutoka kwenye tasnia za muziki na movie na kuwanadi ili wawakilishe wananchi bungeni!? Huu ni wehu na kukosa kufikiri!

CHADEMA wamezindua mpango uitwao "Kujaa bungeni kivyovyote" na haya ya kujaza wasanii ndio mkakati wa kufanikisha mpango huo!

Kwa taarifa sahihi kutoka CHADEMA makao makuu, wafuatao wanatarajiwa kusimamishwa na CHADEMA kwenye majimbo ya uchaguzi oct mwaka huu:

1) Irine Uwoya - Jimbo la Mtera

2) Prof Jay - Jimbo la Mikumi

3) JB (bongo movie) - jimbo la Kigamboni

4) Sugu - Jimbo la Mbeya Mjini

5) Juma Nature - Jimbo la Temeke

6) Dully Sykes - Jimbo la Ilala

7) Fid Q - Jimbo la Magu

Je, wewe Mtanzania una kubaliana na hawa CHADEMA kukupa wawakilishi wa aina hii? Maana CUF na NCCR hawana kauli huku bara ya kupanga wagombea wanaojitambua na kujua wajibu wao kwa wananchi.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nadhani mwandishi ndo unaweza kuwa punguani kama unaweza kuletewa mtu na ukamkubali ilhali wajua uwezo wake kifikra, kimatendo na kimaendeleo. Fikra zako na za mwananchi wa kawaida ndiyo zinazotakiwa kung'amua jema na baya. Siyo kila jambo ni la kuwalaumu wanasiasa jilaumuni wananchi kwa kukosa maarifa hadi mnaletewa chochote na hamsemi hapana.

    ReplyDelete
  2. Wewe mwandishi acha upumbavu uongozi ni maalifa

    ReplyDelete
  3. mwandish umesema kwel

    ReplyDelete
  4. hao pia ni watanzania katiba haimkatazi mtu kugombea

    ReplyDelete
  5. JB, Irene Uwoya, Fid Q tena ni mjumbe wa nyumba kumi kwao mikocheni B, hawa wote ni wana CCM watiifu, Chadema ina Joseph Mbilinyi 'SUGU' na Joseph Haule 'Prof Jay' Prof Jay ni mwana Hiphop aliyeweza kuwateka watu wenye heshima zao kuweza kusikiliza Hiphop, kutokana na Ujumbe unaogusa maisha sio hao uliowachanganya ambao ujumbe wao kwenye kazi zao ni kukaa uchi

    ReplyDelete
  6. Jb ccm nambari one. Ww mwandishi wa wapi hujui ilo? Kasome ndugu kupata elimu itakoyokusaidia kuweza kuandika taarifa au maoni yakisomi.

    ReplyDelete
  7. Acha wapate tu huo ubunge nso angalau wafaidi nchi yao hao waliopo wamefanya nini mpaka sasa wengine kazi yao kuitikia tu ndioooo na wanalipwa ruzuku bora haea watoto ea mtaani nao wakale hako kasungura kadogo sio kila siku wao tu na vizazi vyao wengine washakua wazee wanakomaa tu ukiachia jimbo kwa heshima kama mzee Msuya litapokelewa pia kwa heshima ukizingua na umeshindwa tinampa nature kama mbwai mbwai tu

    ReplyDelete
  8. mwanmdishi mbona unaaibisha vyeti vyako uwe makini uandishi cyo kuandika pumba inaonekana wewe ni kibaraka wa ccm we 2lia mwaka huu mtaka hata mngechafua vipi chama unataka kusema wabunge waliomo sasa wote wana akili timamu chadema hakiwezi kumpa ubunge m2 punguani hiyo ni kazi ya ccmmpaka darasa la pili ni wabunge ukibisha niwataje hapa..........................................

    ReplyDelete

Top Post Ad