Ukweli wa Taarifa zinazoenea Kuwa Mwanamuziki HUSSEIN MACHOZI Amefariki Dunia Huu Hapa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hizi Habari zinazoenea Kuwa Hussein Machoz amefariki sio za Kweli Hussein amekanusha....
Taarifa za Kizushi zimefanya mama yake mzazi akazimia na Dada yake kukimbizwa Hospitali kwa Mshtuko.... PINGA USAMBAZAJI WA HABARI KIPUUZI BILA KUTHIBITISHA....

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. aisee watu ni mikundu kweli daah!!!!

    ReplyDelete
  2. EEE MUNGU WETU TUEPUSHE NA WATU HAWA WAZUSHI. MIYE NAOMBA SERIKALI IFUATILIE MSG ILIKOANZIA NA MTU ASHITAKIWE NA KUFUNGWA JELA SIO KULIPA FAIN

    ReplyDelete
  3. ukueli nikuwa huyu jamaa asemaye alizushiwa niuwongo. yeye alifahamu kuwa kuna jamaa kapatikana na ajali kafariki.
    Aliposikia namna hiyo jamaa anaye mpea idears zakuweka scandles, akamuambia waandike kuwa niyy amefariki hapo itapata watu wengi kumtafuta nakumpea interviews .
    hakuna lolote. huu niowongo wakuingia kwenye game jama alinyamaza sana. Anatafuta mbinu zakurudi kwa game. sababu piya munasikia hadi anamkana mkewake aliemuoa kwa ndoa.
    Huyo jamaa hamjali Mungu, anaweza kufanya jambo lolote lile bila kujua yuko Muumba ili arejee kwa game.
    But with sins nothing can work out. sisi watu wanairobi ,kenyans tunawoishi Europe tulimkubali sana kwasababu alionekana nikijana asiyekuwa na mambo ya kijinga anayejiheshimu but kweli niliposoma nakusikiliza interview yake , this man need a big prayer manzee. his is lost. The whole interview ,nothing truth spoken there from him. Kundi letu lakumsuport limeshangaa sana kwauwongo huu. Is a shame . We thought he was a Muslim Guy doo. Tumejitolea kuandika haya maneno kwasababu tuna msuport his wife he cant do this to that inocent lady. Shame on him. We dont even want to visit his shows when he maybe get a chance to come. which from our side planed and we were waiting for him oneday to perform for us here. We are Kenyans living in Europe and we know his woman very well and we were suporting her husband because of her. Jamaa tumeshangaa sana. Miss Shu Yunus Omar. pray for your husband and we are very sorry for what he did on tv. God should forgive him in jesus name. Amen.

    ReplyDelete

Top Post Ad