Updates Kuhusu Kilichotokea leo Nyumbani Kwa Askofu Gwajima Sala Sala

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Polisi wamefika nyumbani kwa askofu Gwajima mnamo majira ya saa kumi usiku, na walikua wakijaribu kuruka ukuta, lakini walionekana kushindwa na mmoja wao alisikika akitoa taarifa ya kuwa wameshindwa kuruka kwasababu ya electric fance..alisikika jirani mmoja akiongea..

Mnamo alfajiri kulikua na mvua kidogo ambapo watoto wa askofu huyo walionekana wakitoka kwenda shule kwenye gari aina ya wish. Na majira ya saa kumi na mbili na nusu mvua ilipokatika gari ilirudi ndani na mara, Polisi walipovamia na kuanza kugonga mlango kwa nguvu wakitaka kufunguliwa.

Polisi hao mwanzoni walikua wamevalia kiraia kabisa hivyo hawakufahamika kama ni polisi kweli au La.

Kuna vijana watatu waliokua wakipita eneo hilo. Walikamatwa na kupigwa makofi na kuhojiwa kama ni wa kwa Gwajima.

Tofauti na taarifa zilizosambazwa na Mitandaoni kuwa askofu huyo alikataa kuwafungulia baada ya wao kujitambulisha SI ZA KWELI, maana taarifa za uhakika kutoka kwa majirani polisi hawakufunguliwa mlango kabisa.

Polisi walikuja na magari mengi huku wakitaka kuingia ndani kinyume na sheria. Ambapo waliwaza kuruka na kushindwa kutokana na fance iliyopo.

Taarifa za jeshi la polisi kwa waandishi si za kweli.

Askofu Gwajima ameelekea central polisi kwa sasa bila escort ya polisi, akienda kusikiliza walichomjia asubuhi kwa magari na silaha za moto.
Updates will flow...
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad