Ushahidi wa Laivu Kuwa na Nay wa Mitego na Shamsa Ford Wanapika na Kupakua Huu Hapa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Shamsa Ford ambae hivi majuzi aliweka wazi kuachana na mume wake ambae wamezaanae mtoto mmoja, imebainika kuwa kwasasa yupo kwenye mahusino ya kimapenzi na Staa wa Bongo Fleva, Nay Wamitego.

Hivi sasa wawili hao wanaonekana sehemu mablimbali wakiwa wapo close na kutupia mapicha mtandaoni kitu kinachompa presha mwadada Siwema ambae hivi majuzi alinyang’anywa mototo na Nay Wa Mitego na hiyo kuamua kurusha madogo mtandaoni.

Japo kuwa Nay wa Mitego yupo mstari wa mbele kuwapondea wadada wa Bongo Movies kwenye nyimbo zake, lakini kwenye maisha halisi anaonekana kuwzimia sana kwani alishakuwa na mahusia yo kimapenzi na wadadawa bongo movies kadhaa kabla ya Shamsa wakiwemo  Nisha na Bozi.

Hapo juu ni picha ya Nay na Shamsa Wakilana Denda kwa Raha zao......
Toa Maoni Yako Hapa Chini Matusi Hayarusiwi
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kunguru kunguru tu hafuguki maana kishakuwa kunguru.,demu kamwacha mume ili awe huru kuendeleza umalaya tu mana alikuwa anabanwa Na mumewe,kupigwa sasa sio nzuri ila wengi km wanaheshimu ndoa wanatulia Na kuondoa sababu inayomfanya apigwe.,Ney nae mnafiki tu sio true boy wala nini shoga tu anajichubua tu hau kam utembee Na demu juzi tukaachika unamaana kitambo walianz kumegana km kweli ni demu Wake ndo mana kamwaribu siwema kisaikolojia.,aombee mtoto awe Wake km si hivyo namvua vyeo vyote Na gwanda hafai kuwa msoja wote hao ni Kunguru tu sio huyo kenge wala huyo ngiri hawahui maana ta uhusiano ninini kwao wapo kuigiza tu ndo mana wanaishi kimitego kumtegea mwenzake ili anase amle nyama,sasa wamekutana wote wawindaji patamu hapo....,false boy wa kujichubua....

    ReplyDelete
  2. Nampenda sana shamsa ila yupo rafu sana hasa kwenye suala la nywele. Kichwani huwa ni mchafu sana hata kwenye movie zake hadi anaboa. Ajitahidi kubadilika. kuhusu kuwa na ney anijipotezea muda tu, amekurupuka tu, ajaribu kurelax kwanza.

    ReplyDelete
  3. JUMPING FROM FRYING PAN INTO THE FIRE

    ReplyDelete
  4. Huyu Nay si aliwaimba bongo movie malaya wa viwango kumbe anawagegeda?

    ReplyDelete
  5. noooo Nay, you can do better than that!!!!!!

    ReplyDelete
  6. vimeooooo wote haoooo fuck

    ReplyDelete
  7. WANAGAWANA TU WADUDUD!!!

    ReplyDelete
  8. NDIO MALAYA SI NDIO MAANA ANAWAGEGEDA?

    ReplyDelete
  9. NA HAO WADUDU WAKIRIPUKA HAKUNA ATAKAYE BAKI LOH!!

    ReplyDelete

Top Post Ad