UTABIRI: Lady Jay Dee Kuolewa na Mwanaume Tajiri..Lakini Afya yake Itadhoofu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya Kutemana na aliyekuwa Mpenzi wake wa muda Mrefu Gadner G Habash Sasa Lady Jay Dee Kuolewa na Mwanaume Tajiri.

Hayo yalisemwa na Mtabiri wake wa Nyota ambae alimkaribisha kwenye kipindi chake cha Diary ya lady Jaydee ambapo huweka wazi mambo kuhusu Maisha yake .

Mbali ya kuolewa Mtabiri huyu ametabiri Lady Jay Dee Mwaka Huu Utakuwa wa mafanikio kwake Kipesa kupitia Muziki wake lakini kiafya atakuwa na homa za mara kwa mara na kuwa dhoofu kiafya kitu ambacho kitamfanya kufikiria kifo ...

~Gazeti la Kiu
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad