Vanessa Mdee ndio msanii bora wa kike kwa sasa, Jide kakabidhi kijiti rasmi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Tukubali tukatae ila msanii wa kike Vanessa Mdee ndiyo queen wa R&B na music wa kizazi kipya East Africa kwa sasa.

Amefanikiwa kuondoa utawala wa Lady Jaydee kwa muda mrefu.

Kwa sasa ndiyo msanii anayepata airplay kuliko wasanii wote East Africa kwenye channel za kimataifa na wimbo wake hatari sana "nobody but me".

Mwana muziki huyu ambae ni mwanasheria kitaaluma music wake na uimbaji wake una standards za kimataifa unaweza kupenya popote

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Yupo juu kiukweli. Anastahili sifa na pongezi. La muhimu ajitambue na kuwa kioo cha jamii kifaacho kuigwa.

    ReplyDelete

Top Post Ad