Wanabongo Fleva wa 5 Anaowakubali Wema Sepetu, Diamond Namba Moja

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Wema Sepetu pamoja na kutengena na mpenzi wake Nassib Abdul ‘Diamond’ lakini alipoamua kutaja wasanii wanaofanya vizuri katika muziki wa Bongo Fleva mtaliki wake huyo kampa namba moja katika wasanii watano ambao yeye anaona wanafanya vizuri katika muziki.

“Muziki umeshika kasi na kuna wasanii ambao wanafanya vinzuri kuliko wengine, kwangu Top 5 yangu 1 Nassib, wa pili ni Ashley, Ali kiba, Barnaba na wa tano ni mirrow hawa ni wasanii wanzuri wapo level za kimataifa,”anasema Wema.

Aidha Wema amesema kwa upande wa wasanii wa kike anampenda sana mwimbaji Vanessa Mdee kwani anaimba na kucheza katika kiwango cha juu na kumfanya awe ni mpenzi wa kazi za msanii huyo, pia anataka watu wasimuelewe vibaya ni kwa mujibu wa mapenzi yake na maono yake.

Toa Maoni Yake Hapa Chini
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wema usi anze mambi yako ya kishenzi kutaka kunvutiya diamond mana sasa kutwa yupo mdomoni mwako utakuja katwa kisimi bora ka na uyo uyo aliye kuhonga BMW ndito suze yako

    ReplyDelete
    Replies
    1. ww nyama hapo juu kwani kuachana na x wke ndo asiseme ukweli kama kisimi utakatwa ww kazi mtusi tu siujitukane mwenyewe kwani kumtaja nasibu zambi

      Delete
  2. WEWE NDO UNA MAMBO YA KISHENZI, HUJUA WATU WANAVYO SAPPOTIANA KWENYEKAZI, NA WALA HUJUI WEMA NA DAI WALIFANYA NN WAKATI WALIPOKUWA PAMOJA. KUACHA SIYO SABABU YA KUTOMSIFIA MTU.

    ReplyDelete
  3. kwani mtu akimsifia x wake ndo anamtaka? msenge ww, kama si mbwa!

    ReplyDelete
  4. so unataka wawe wana tukanana kisa wameachana? acha ulimbukeni wa kizamani.

    ReplyDelete
  5. WEMA NA DOMO HAWAACHANI, KAA UKIJUA WANAFANYA KWA SIRI KUBWA MPAKA ZARIVUZI AZAE NDO UTAONA.

    ReplyDelete
  6. Acha ugomvi taja wako.Hayo ni maoni ya Wema. woooote alotajwa umeelewa jina moja tu Diamond?au nawe una yako

    ReplyDelete
  7. Nyege zishaanza kumpanda mbwa mchafu huyu. Huna wa kukuvuruga unaanza kuhaha. Na badoooo. Ommy Dimpoz kakimbia. Yule Idrisa hajazoea makurubembe kama wewe Umeona Dai ka move on sasa unaanza kujitongezesha kwa kumpa masifa. Koma malaya mchafu weee. Na pole kwa hao waliokuokota maana wenzao wametapika wao wanaona uhondo. Mfyuuuu

    ReplyDelete

Top Post Ad