Wanawake wa Stahili Hii, Wanakera Mno

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwanamke nimemtongoza kanikubalia, nikamuomba mzigo kanibania, alafu muda mwingi anaokutana na mimi anakifanya ana haraka muda mwingi utamsikia akisema 'nataka kuondoka lakini nina haraka' as if mmekutana bahati mbaya.

Basi unapozidi kumbembeleza, we unaongea naye ye yuko busy anachat kwa text na watu wengine na ninapojitahdi kutaka kugundua anachat na nani, ndivyo simu yake anaiweka mbali na upeo wa macho yangu.

Mara nyingi mimi ndo wa kwanza kumshtua kene simu kila siku, nisipofanya hivo siku inapita na ninapomuulza kama ananipenda anajibu ananipenda. Naomba mnisaidie huyu binti ananipenda kweli? Au yupo kimaslah zaidi?

Ushauri kwa mabinti kama mwanaume huwezi kumpenda au haujakidhi vigezo vyako, mtose siku ileile ya kwanza sio kukubal Kinafiki.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. we nawe unamatatizo mtu anamzigo wake kaubeba wewe umemwomba amekataa ss unahangaika nn mwache abaki na mzigo wake hajazidiwa kuubeba mzigo huo. pole

    ReplyDelete
  2. ACHAA NAYE, WAPO WENGI HAO POCHI YAKO TU

    ReplyDelete
  3. babu huitaji kuwa na phD kujua uyo mwanamke hakupendi.so muache

    ReplyDelete
  4. tupaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kule

    ReplyDelete
  5. ukitataka watoto wazuri punguza ubahili

    ReplyDelete

Top Post Ad