Watu 9 wakamatwa Msikitini wakiwa na vifaa vya mlipuko, Sare za Jeshi, Majambia na vifaa vya Kuficha Nyuso

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Watu 9 wamekamatwa wakiwa wamejifungia kwenye msikiti wa Soni Morogoro wakiwa na vifaa vya milipuko hatari! Watu hao ni watanzania 

Katika purukushani hizo polisi mmoja amenusurika kuuawa baada ya kukatwa na jambia shingoni.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

18 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kuna vitu vyengine nyie wanahabari mnatakiwa mvitafiti na kuvitafakari kwa kina kabla hamjakimbilia kuandika au kupata uhuru wa habari ndio muende hivi, hii sio njia sahihi ya kulinda na kuimarisha amani ya nchi hata kidogo, kueni na uzalendo thabiti. Habari kama ipo ifuatilie vizuri ukishaipata kamili, shukrani tuelezeni ikiwa kamili sio kutuweka matumbo joto. au mnataka hadi ifike mahali tuwe tunadharau habari alafu kuje kuwe na moja serious zaidi tupotezee na ilete madhara makubwa zaidi??

    ReplyDelete
    Replies
    1. pengine ndugu yetu unazo habari kamili sasa baada ya kulaumu ni vema ukatupa habari ambazo ni sahihi au utuonyeshe madhaifu ya waandishi hao, tusipende kufanya vitu kwa hisia ila kwa uhalisia, mtoto wa jirani akivunja chungu chako hiyo ni habari ila mwanao akivunja chako nitaarifa tena ya siri na pengine mnataka tuendelee kufumba watu macho, acha vyombo vya usalama na habari vifanye kazi zake na si kulalamika bila fact

      Delete
  2. Hao ndio baazi ya magaidi wa tz wakanyee debe tu pumbavu zao

    ReplyDelete
  3. Vifaa vya mlipuko sehemu ya dini?dini ya amani.

    ReplyDelete
  4. Kuna vitu vyengine nyie wanahabari mnatakiwa mvitafiti na kuvitafakari kwa kina kabla hamjakimbilia kuandika au kupata uhuru wa habari ndio muende hivi, hii sio njia sahihi ya kulinda na kuimarisha amani ya nchi hata kidogo, kueni na uzalendo thabiti. Habari kama ipo ifuatilie vizuri ukishaipata kamili, shukrani tuelezeni ikiwa kamili sio kutuweka matumbo joto. au mnataka hadi ifike mahali tuwe tunadharau habari alafu kuje kuwe na moja serious zaidi tupotezee na ilete madhara makubwa zaidi??

    ReplyDelete
  5. Huo sio msikiti naosali mimi..Hiyo ni moja ya misikiti fake inayozagaa nchini

    ReplyDelete
  6. Dini zingine nadhani hazimwabudu Mungu muumba mbingu na ardhi.Dini inayonadiwa kuwa ya amani na unyenyekevu,ndio kinara wa mauaji.Wanaomfuata YESU KRISTO hawawezi kufanya hayo.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Angalia kitabu cha dini flani na sio tu matendo ya watu/wafuasi wake coz ni binadamu wanaweza kuna na makosa mengi tu, yesu kristo hawezi sawa wewe mwenyewe hujafanya dhambi?? Au kukitokea kosa flani kanisani ndio tuje kuambiwa/kusema ukristo haufai, mapadri wangapi wanakamatiwa magesti na wake za watu kila kukicha??

      Delete
  7. Hawa suruale fupi wanataka kuipeleka wapi nchi yetu? Hii sio dini Hawa ni makafiri waislam nawafaham Mimi ni wakarimu wapole wapenda Amani sasa Hawa suruale fupi na ndevu Kama mabeberu Hawa ni magaidi wote

    ReplyDelete
  8. IKUMBUKWE SOMALIA CHINI YA SIAD BARE WALA AL SHABAAB HAWAKUWEPO NI VEMA TUWE WAZI TU MFICHA UGONJWA MSIBA HUMUUMBUA AMANI YA TANZANIA NI ZAIDI YA VIKUNDI VIDOGO VYA VIJANA WALIOPATA TAFSIRI POTOFU YA VITABU VYA DINI NASIKITIKA NI VIJANA AMBAO WAKO FRUSTRATED ILA WAMEONA NI AFADHALI KUFA SASA JILIPUE MWENYEWE WAHI KUZIMU TUTAKUKUTA USILAZIMISHE WENGINE KUWAHI KUZIMU KABLA YA WAKATI

    ReplyDelete
  9. Sasa vifaa vya milipuko majambia, sare za jeshi na kuficha sura, Sasa ndugu zetu vyote vya nini hivyo? kutaka kumwagana damu na kuvuruga amani na upendo, vinatusaidia nini? Nyumba za ibada ni za kuzieshimu kwa Imani na shukrani si za kufanyia vituko, muumba anatuona, sio mpaka apaze sauti acheni yote hayo. muishi kwa amani na upendo na furaha

    ReplyDelete
  10. Wana sigida kali kabisa utadhani wanaswali kweli kumbe ni watenda dhambi wakuu. Hivi mimi siamini kama kuna kitabu kilichoamrisha mtu kumlipua mwenzie au kuua mtu sababu ya dini. Jamani hawa watu wanaipeleka wapi nchi yetu.

    ReplyDelete
  11. Wewe Anony 7: 31 uwe na nidhamu na adabu unapoandiaka vitu usicheze na imani za watu wewe ulisha soma Quran ukaona kuna sehemu imeandikwa au inafundisha watu waue wenzao au unakurupuka tu kukashifu dini za watu. hao wanaofanya hivyo wanafanya kwa matakwa yao uislamu haujasemama wanayo fanya hata mapadri wanalawiti watu sidhani nimafundisho ya ukrito ila ni matakwa yao binafsi na ni dhambi zao. hakuna dini inayo simama na kuhubiri waumini wake waue watu.kwa ktk uislamu unasema yeyote atakae dhurumu nafsi ya mtu kwa kumuhua au hata kujiua yeye mwenyewe anadhambi mbele ya mungu.

    ReplyDelete
  12. AnonymousApril 15, 2015 at 7:31 PM: ni matako vile vile huja soma vitabu vya dini kisawa sawa kumbuka mungu ni mmoja na ndie alie wateremsha manabii wake laki kadhaa na wote walipita na ndipo akamleta huyo yesu na akapita akaletwa Muhamad sasa ni akili ya mtu au utashi wa mtu kufuata kile anacho kiamini kwa mungu wake au kwa na bii. ukisema uisilamu sio dini ya kweli unakosea kwa sababu maandiko ya biblia ya kale na mafundisho yana endana na Qur-an ispokuwa watu wa chache kama wewe unapotosha umma. mpumbavu mkubwa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nimekusoma bingwa, huyu jamaa anahitaji kusaidiwa, upeo wake na elimu ndogo ndio tatizo hawa ndio wanaoharibu mwenendo wa mitandao ya kijamii pia. Ila na wewe matusi ya nini, tujenge amani ya dhati ndugu.

      Delete
  13. TENA MPUMBAVU SANA ASAA HUYO

    ReplyDelete
  14. Sura ya 9 ayah ya 5 inasema, but when the forbiden months are past, then fight and slay the pagans wherever you may find them.....ina endelea, wapagani kwa tafsiri ya Kitabu kitukufu ni watu wote wasio waislamu. Kwaiyo, hata mimi ninashida na uwelewa wa Dini ya Ki Isslamu.

    ReplyDelete
  15. Upeo mdogo msamehe bule kwani hao ni watu wasiojua

    ReplyDelete

Top Post Ad