Wema Sepetu Ampongoza Diamond Platnumz Kwa Kumaliza Mjengo Ambao Katika Hatua za Mwanzo za Ujenzi Walikuwa Wote

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Beautiful Onyinye wa Bongo, Wema Sepetu amefunguka kwa mara ya kwanza na kusema kuwa hata yeye anampa pongezi mpenzi wake wa zamani, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kwa jitihada alizozifanya mpaka kufikia hatua ya kumaliza nyumba yake iliyopo Madale jijini Dar.

Akizungumza na gazeti hili juzi, Wema alisema kuwa hata kama hawako pamoja lakini kama kuna kitu cha kumsifia kwa jambo zuri alilofanya hana sababu ya kukaa kimya na akinyamaza atakuwa mnafiki.

“Nikikaa kimya bila ya kumpongeza Chibu nitakuwa mnafiki, amefanya jambo zuri la kuigwa hivyo binafsi nampongeza kwa hapo alipofikia,” alisema Wema ambaye katika hatua za mwanzo za ujenzi huo alishiriki.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. WIVU SINA ROHO INAUMA SANA

    ReplyDelete
  2. Dah utafanyaje sasa hamna jinsi,big up onyinye huo ni ujasiri na kwa sehemu umepunguza mzigo.,safisha roho ili kuondoa makunyanzi ktk nafsi ht uso ukunjuke....,

    ReplyDelete

Top Post Ad