WEMA SEPETU: Kumuimba Msichana Uliyeachana naye ni USHAMBA wa Mapenzi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Staa wa filamu za kibongo, Wema Sepetu ‘Beautiful Onyinye’, amesema ni ushamba kwa wasanii wa muziki kuwatungia nyimbo za majungu wasichana wanaoachana nao kimapenzi.

Wema amesema wasanii wengi wa muziki wamekuwa na tabia ya kishamba ya kutunga nyimbo zenye maneno ya kuudhi, wakiwalenga waliokuwa wapenzi wao.

Ni ushamba wa mapenzi, haiwezekani mlikuwa mnafurahia wote mapenzi yenu, lakini mkiachana anakutungia nyimbo za kukuponda, hakuna neno la kuzungumzia hilo zaidi ya kuita ushamba kwa wasanii wa aina hiyo,’’ alisema Wema.

Hata hivyo, kwa mujibu wa chanzo chetu cha ndani kutoka studio moja kubwa ya kurekodi muziki nchini, kuna wimbo wa wasanii wawili waliowahi kuimba pamoja na wimbo wao ukawa gumzo kwa mashabiki wa muziki huo, ambao wanamalizia kurekodi wimbo unaodaiwa unamzungumzia mrembo huyo wa Tanzania mwaka 2006.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

25 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ACHANA NAE WEMA, WATZ WANAJUA ANATAPATAPA NA BILA KUKUTAJA WEWE HAUZI. MBONA HAMUIMBI ALIEMSHIKIA MIMBA?

    ReplyDelete
  2. diamond kila cku anatafuta kitu cha kukusema, sijui haamini kama mmeachana? mbona bi kizee kafanya mengi mabaya na kutoa mimba za wanaume wengine hasemi?? analo linalomsumbua Domo

    ReplyDelete
  3. kweli Wema inamaana yeye hajafanya mabaya alivyokuwa na wewe au yeye ni mkamilifu? anatafuta umaarufu usokuwa na tija, akalee mimba ya kusingiziwa.

    ReplyDelete
  4. DIAMOND KILA SIKU ANAKUTAFUTA COUZ HUMJIBU ANATAKA KUHAKIKISHA UNASHUKA BUT LAZIMA AJUE ALIPANGALO MUNGU HAWEZI KULISHUSHA. SI AMSEME ZARINA 41+ KATEMBEA NA WANGAPI NA KATOA MIMBA NGAPI.

    ReplyDelete
  5. aseme na mazuri yako kwani yeye hajakufanyia mabaya? huyu Domo ana haha kama kuku wa kienyeji. bi kizee katombesha UN kaimalaza na mimba kibao kazitoa mbona hasemi au kumuimba? akukome mtoto wa sepetu. hana jipya kadodaaaaaa, na mimba ya majanini kama ya Sinta

    ReplyDelete
  6. Amuimbe na zari na tape yake ya ngono.wema usijali tushamjua hatusumbui Atawapa hao hao mazuzu wake wa kwamtogole

    ReplyDelete
  7. maneno ya mkosaji hayo, bado anaweweseka na penzi lako Wema, hajiamini hata kidogo labda Ajuza analala kama gogo!

    ReplyDelete
  8. Anaonyesha haja move on. Kuna mengi ya kuimba zaidi ya ex. Hawezi uza bila wewe, tatizo nyota

    ReplyDelete
  9. Najuajua toa mimba fanya lolote ,tukana au hata tembea bila nguo.Haijalishi hata kufanya mapenzi kinyume na maumbile lakini TUSI KUBWA KUPITA YOTE KWA MWANAMKE NI KUWA TASA.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwani utasa unauzwa duka gani mpaka lile ni tusi kubwa kupita yote kwa mwanamke kuwa tasa? Mnatakiwa kujua asiyeumba haumbui. Halafu mbona wako wengi sana wasojaaliwa watoto kwani Wema kawafanya nini kubwa mno la kuwakosesha raha kiasi hicho?

      Kupata na kukosa yote ni mipango ya Mungu binadamu hana chake hapo

      Iwaingie akilini kwamba kupata si ujanja na wala kukosa si ujinga hakuna sababu ya kuisemea kudra ya Mwenyezi Mungu. Mnajificha kutukana wenzenu lakini Mungu anawaona mlijue hilo

      Delete
    2. Basi mheshimuni huyo tasa anaewapa riziki manake kwa kumuimba imba ndo mnapata kujaza matumbo yenu lol

      Delete
  10. Nani Tasa Wema bado mdogo 26 ndiyo mkubwa nina ndg kazaa na 34 pia Wema na Domo watarudiana tu huyo Domo hanaangaika kumiliki bi kizee sikazi ndogo.

    ReplyDelete
  11. WAYANI WEWE 12.58 PM. KWA TAARIFA YAKO WEMA MJAMZITO ULIZA KABLA HUJAROPOKA MDOMO KAMA UMEKUNYWA UJI WA FUNZA. LABDA TASA MKEO.

    ReplyDelete
  12. na tusi kubwa kupita yote kwa mwanamme ni uhanithi wa kuwasema maa x wako bila sababu,

    ReplyDelete
  13. wewe vipi Wema hana shida ya kuzaa na mtu mwenye sura mbaya kama remmy ongala, kafie mbele anauwezo wa kuzaa wakati wowote, unafikiri mimba ya Zarina ni ya Daimond? huone UN washaanza kutoa siri. usifante mkumbo wa kiki za picha kila dakika. bi kizee anaakili yake.

    ReplyDelete
  14. MM NAONA ZARI ANATAKA KUMFIRISI DOMO, MAANA SIFA ZA KIJINGA KWAKE ZIMEZIDI NA NDUNGU YETU SASA MDOMO WOOTE KAUWACHA WAZI NA AKILI PIA IMEFUBAA, SASA ABISHE NA HUYO X WAKE ALOSEMA ZARI KATOA MIMBA 2. HALAFU ANMTIA BILAKONDOM THAN MIMBA YAKE + UKIMWI JE! BALADA ATAFAKARI ANAANZA KUMSEMA WEMA.

    ReplyDelete
  15. NAWE HUISHI KUJISHAUWA KWANI UMEAMBIWA UNAIMBWA WEWE HEEE MMMSSSSFFF

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hapo khudud faa umenena. Kwani ex wa Diamond ni Wema peke yake? Na nani kamwambia kwamba yeye ndio anaumwa. Acheni ushabiki wa kipumbavu nyie team Korosho mavi.

      Delete
    2. Nyie ndo muache ushabiki mavi domo mwenyewe aliulizwa kuhusu wema akasema sisemi kitu kwasasa majibu yote mtayapata ktk nyimbo yangu mpya niliyofanya na ney aka neema sasa mnabisha nn kwann acjibu anaenda kujibu kupitia nyimbo mswahili nim mswahili tu utamjua,domo ni mshamba sana na utandale umemjaa fyuuuuuuu

      Delete
  16. Na mwanaume tasa unalea Mimba za wengine yeye ni nani?

    ReplyDelete
  17. Yako wap ya juma nature na sinta? Ulmbuken tu wa domo, au ckuiz anaimba taarab?

    ReplyDelete
  18. DIAMOND ANANIJUJUA BILA KUMUIMBA WEMA HAUZIKI.

    Hebu awaangalie wanamuziki wenziwe kina Ali Kiba mbona hawaimbi majungu kila siku?

    Halafu inaonyesha anampenda sana Wema na huko aliko hajaridhika bado anakumbukia penzi na mavitu aliyokuwa anapewa na Wema. Haiwezekani mwanaume uliye na mwanamke mwingine na unaridhishwa kila kona ukamkumbuka na kumsema X wako kila uchao. Huko aliko anamiss malavidavi ya Wema angekuwa amefika angeanza kumuimba huyo Mamdogo wake aliyezaa nae.

    Kingine inauma sana mwanaume uliyenaye kwenye relations kutwa anaongelea X wake au kumuimba X wake inaonyesha kuwa bado hajamove on moyo wake uko kule kule, mbaya zaidi inaonyesha kuwa hana cha kukuimba wewe mpenzi wake mpya.

    Grow up Diamond kumuimba Wema kila siku unawaumiza wapenzi wako na unaonyesha fans wako kuwa huna kipaji cha kutunga nyimbo.

    ReplyDelete
  19. Ukiona ex wako anakuongelea especially kwa mabaya ujue bado hajafanikiwa kukutoa moyoni so anajaribu kujifariji kuwa wewe ni mtu mbaya na anataka apate support ya watu wengine kuwa wala hujapoteza lolote kuachana na ex wako kwakuwa wala siyo mbora kihivyo! Anajaribu kumove on kwa kutumia njia hiyo

    ReplyDelete
  20. NYIE MNAE MWITA DAIMOND DOMO MUJUWE HUJAFA HUJAUMBIKA NA MTU KASORO YAKE NDO UZURI WAKE HILO DOMO MNALOSEMA NDO LILOMCHANGANYA HUYO WEMA NA YEYE PIA ANAMPENDA DAIMOND BADO MANA HAIWI KILA NYIMBO ATAKAYO IMBA DAIMOND KAIMBIWA YEYE HEEE KWA KUWA ANAKIPI KIKUBWA AMBACHO WANAWAKE WENGINE HAWANA MMMSSFFFF OVYOOOOOO

    ReplyDelete
  21. NA DAIMOND ANAUZA SANA TENA BILA YA HUYO WEMA NYIMBO NGAPI KASHATOWA NA HAJAMUIMBA HUYO WEMA NA ZINAUZIKA ACHENI MAJUNGU ETI OOOOH MSWAHILI NDIO SASA UNATAKA AWE MZUNGU WAKATI KAZALIWA AKIWA MSWAHILI HEEE WE VIP MWACHE NA USWAHILI WAKE COZ NDO ALIPO ZALIWA NA WEWE PELEKA UZUNGU WAKO UKO

    ReplyDelete

Top Post Ad