Wema Sepetu 'Mimi SINA Kinyongo na DIAMOND ila Yeye Ndio Anakinyongo na MIMI, Nilimwandikia Message Kumpa Pole ila Hakunijibu'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Akizungumza kwenye kipindi cha Ubaoni cha EFM leo, Wema alisema kuna siku alimtumia ujumbe wa simu Diamond kumpa pole kwa kumuuguza mama yake lakini alimchunia.

“Tumeshaachana kwanini tuwekeane grudges,?”alihoji Wema kwenye kipindi hicho. “Tulikuwa pamoja lakini tumeachana kwanini tuwekeane bif, kinyongo? Mimi leo na kesho nikutana na mtu kama Jumbe siwezi kumpita nikasema nisimsalimie! Nikutana na mtu kama Chaz Baba, Chaz Baba mara ya mwisho juzi kaja nyumbani kaja kaniona alikuwa kaniletea kambwa tuongea kishkaji! Kwahiyo kama ulikuwa na mtu halafu mkaachana hamtakiwi kuwekeana kinyongo,” alisisitiza.

Mimi siwezi kuwa na kinyongo na Diamond hata siku moja lakini imekuwa iko tofauti kwa sababu mwenzangu hayuko hivyo anataka ile no! No! sijui ni kwa nini lakini labda kila mmoja ana jinsi anavyofikiri.”

Sijawai kumpigia simu ila nilishawakumtext, nilisikia kwamba mama yake anaumwa baada ya kusikia mama yake anaumwa nilim-text kama pole kwa sababu sina kinyongo naYe nikampa pole lakini kama nilivyoowambia mwenzangu yupo tofauti, nilifanya kibinadamu yule mama mimi hajanikosea.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. DIAMOND NI MSHAMBAAAA!!!!
    NA UKIONA HIVI JUA DIAMOND ANAUMIA LA\KINI ANAJIFANYA TU.

    GOOD WEMA!! WHY UFI\CHE? THAT'S HOW YOU FEEL NA ASIKUDANGANYE MTU. HAKUNA MTU ASIYEKUMBUKA MAZURI YA MTU WALOISHI PAMOJA.

    I LIKE U COZ UKO VERY STRAIGHT!!!!!!!!1

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe ndio mshamba tena wambwinde kabisa,Almasi anakula Zari hivisasa ana haja gani ya vitext vya huyo mchubua ngozi?wewe na huyo mchubua ngozi wote hamnazo!

      Delete
    2. hamnazo wewe na baba yako mzazi.

      Delete
  2. basi tu kwa vile ndo ushampenda diamond lakini ingekuwa amri yangu siyo typ yako kwanza mshamba, yaan na kama siyo wewe kumfundisha maisha asingekuwa hapo alipo. akiona nyota inazima atakuja uipaishe.

    ReplyDelete
  3. Pole wema....ila ungemtumia mama chibu message mwenyewe kwani hana simu na hajui kusoma...
    Inavyoonekana bado unampenda chibu...anyway pole yako kwa kupenda usipopendwa

    ReplyDelete
  4. KWAMTOGOLE WEMA UNAFIKIRIA NN? HATA ASAFIRI DUNIA NZIMA BUT ABADILIKI IKO KWENYE DAMU. ACHANA NAE ASIFIKIRI UNAMTAKA BURE KUMBE UNATAKA KUJUA HALI YA BI SANDRA.

    ReplyDelete
  5. Diamond siyo mshamba ni limbukeni kalelewa na mama tu so kawa na nongwa kama mademu, fanya kama humjui Wema asije tangaza unamtaka maana yeye ndo hana kasoro kwa wanawake. anaona kafika kwa cheupe, ahesabu wa ngapi walipita kabla yake.

    ReplyDelete
  6. Domo hajui maana ya ubinaadamu, leo anamuona bi kizee wamaana kisa anamimba yake, siku yakimkuta atakuwa kama ney na DNA itahusika, mwache ajisahau na elimu hakuna anendeshwa na mameja 3. huyo salaam muuza unga sijui anamfundisha nn Domo

    ReplyDelete
  7. Hivi wewe wema unamatatizo gani? Kwanini huelewi unamtafutia wanini sasa. Umeanza kuwashwa kama kawaida yako. Hebu tulia upate wa kwako na upunguze mitamaa. Mwanzo ulimwona hafai saizi umesahau nini. Jiheshimu wewe ustaa huo feki unamwisho wake utachinaaaa. Unadhani atarudi tena kama alivyokua na Penny???? Jiongezeeee

    ReplyDelete

Top Post Ad